Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufanya haya mwanaume haipendezi. . . (Mwendelezo wa sisi ni wanaume bwana!)

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Calnde, Mar 18, 2012.

 1. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kuna uzi uliokuwa unasema sisi ndo wanaume bana! Mimi naomba niendeleze kwa kutoa yale nnayodhani hayafai kwa mwanaume kufanya. . .
  1. Haipendezi kubana matumizi kwa familia lakini kutumia kwa issue nyingne kama kupiga maji, gari nk

  2. Haipendezi mwanaume kutokuwa na utaratibu wa kuwa na refreshment na familia yako

  3. Haipendezi mwanaume kuvaa vijinguo vya kubana kama 'skinitait' eti fashion

  4. Haipendezi mwanaume kuwakusanya wenzio na kuwahadithia unavyo 'm-do' mkeo au mpenzi wako.

  5. Na hii tabia ya wanaume kujipodoa kupitiliza, sijui kujichubua, lipshine, kuweka dawa nywele za kiafrika, kuvaa hereni pia naona haipendezi.

  6. Wanaume mnatembea barabarani mnashikana shikana mikono, mara kukumbatiana (kumbuka hapa simaanishi kwa kusalimiana) haipendezi.

  7. Mwanaume kuwa mmbea, haifai

  8. Kupiga mkeo, aah mbaya sana

  Waweza endeleza
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  kuwa na wivu kupita kiasi kwa mwenza wako bila sababu za msingi... mpe space!
   
 3. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Haifai pia kupeana space sana. . .
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  9. Haipendezi mwanaume kuwa na lugha chafu isiyokuwa na staa

  10. Haipendezi mwanaume kurudi usiku wa manane kila siku kiasi kwamba watoto wanakusahau

  11. Haipendezi mwanaume kukana mimba wakati umegonga kavu...
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  duh . . .
  Haipendezi mwanamme kutaka manyonyo yalosimama wakati mkewe kazaa.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haipendezi mwanamme kupenda makalio makubwa wakati alimuoa mkewe akiwa na pasi utadhani aliangushwa bafuni akiwa mdogo.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haipendezi mwanamme kutaka/kumruhusu mkewe ajichubue wakati alimwoa mweusi.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haipenezi mwanamme kuruhusu watoto wake under 14 kujiingiza kwenye urembo ulopitiliza kiasi kwamba wakiwa wakubwa ndio wanakuwa akina maiko jakisoni.
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Haipenezi mwanamme kutongoza kila mwanamke anayepita mbele ya uso wake.
  Kana kwamba hajui simba mzee ndo hula nyama.
   
 10. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Wanaume tuna kazi
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haipendezi mwanamme kukopa pombe, au spea ya gari au dada poa.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  haipendezi mwanamme kufika miaka 45 bado hajajenga hata kama ni kibanda cha tope, hii huonyesha kiwango chake cha malengo na yuko 'realistic' kwa kiwango gani.
   
 13. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haipendezi mwanaume kuwa na ghubu...
   
 14. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haipendezi mwanaume kuwa mchoyo, mbinafsi na mwenye roho ya korosho.....
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Unadhani uanamme lelemama, si ndo kichwa cha familia hicho. Kaza buti.

   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haipendezi mwanaume kuvaa designer clothes wakati mkeo na wanao anapiga mtumba
   
 17. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  haipendwzi.mabisa mwanaume kuoa mke mwenye roho mbaya
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haipendezi mwanaume ukirudi nyumbani watoto wanakimbilia chumbani na mama yao anakosa raha...
   
 19. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,226
  Trophy Points: 280
  haipendezi mwanaume kumpa hawara namba ya simu ya mkeo.....
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  hapendezi kabisa mwanaume kuwa demu asiyejua kujisafi
   
Loading...