Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi kwanini sisi wanaume wengi hatupendi kukutana na mwanamke ambaye toka mwanzo anaonekana "kujua sana"? Yaani, akijionesha "kujua sana" basi tunaanza kukosa ile confidence kwa sababu...
3 Reactions
78 Replies
5K Views
HI JF! kuna bint Mmoja 2likutana kwa mara ya kwanza 2kiwa mm 6yrs na yy 5yrs.Nimezaliwa 11/8 na yy 12/8 mwaka mmoja badae.wen 2lipokuwa kids ckuwah kupata hisia za lov ju yk.2lisoma p"mary na...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
The number of Ugandan boys and girls keeping their virginity is steadily going up, according to the results of a newly released survey. The Uganda AIDS Indicator Survey 2011 preliminary...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
A SAD LOVE LETTER Najua hautamani kusikia lolote kutoka kwangu kwa kuwa sina thamani tena kwako, thamani niliyokuwanayo kabla hujanipatia ujauzito mara mbili zote ukanisihi nitoe. Kwa sababu...
3 Reactions
54 Replies
18K Views
Ndugu zangu wana jf,mi kiukweli nataka nipate bunduki kubwa na ndefu, maana kwa nguvu kako fresh. Nimejaribu kutumia dawa za kimasai na nyingine lakini haibadiliki. Mwenye kujua dawa yenyewe...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Wapendwa habari za siku nyingi, Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Naishi na mtoto wa dadaangu ni mdogo ana miaka mitano yuko darasa la kwanza ni mkorofi kupita kiasi nadhani tv pia zimechangia huyu mtoto hana woga kichwani mwake, kujieleza kama wakili, anafanya...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu. Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!! kila nikimuuliza...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na...
3 Reactions
83 Replies
7K Views
Mnivumilie kwa kufanya hii topic ijirudierudie, ila ingekuwa heri mkaielewa hivi.... 1) Mwanamke kutongozwa ni njia mojawapo ya kuonesha Glories of being a woman ambazo ni beauty, feminine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Stop getting involved in relationships for the wrong reasons...relationships must be chosen wisely...its better to be alone than to be in bad company..there's no need to rush...if something is...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital.... mara ya...
3 Reactions
160 Replies
13K Views
Mimi naitwa Hassan Said ni muajiriwa wa Mamlaka ya Bandari umri wangu ni miaka 34,urefu sm170,na Elimu ni ya chuo sijawahi kuoa na sina mtoto .Najitokeza kutafuta mchumba ambae atayekuja kuwa mke...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naitwa Kelvin,nna miaka 26,home ni Mwanza ila kwa sasa nipo masomoni Dodoma,chuo kikuu.Natafuta msichana aliye serious na tayari kuwa mchumba wangu na hatimaye ndoa kuanzia miaka 18-24.Mimi ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wadau wa jukwaa letu tukufu la MMU, Kwanza kabisa, naamini mko wazim na mnadunda...Mie pia ni mzima na nimewa-miss kikweli kweli!! Leo nimejikuta napatwa na mawazo ya ajabu ajabu kuhusu...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Nimempoteza mama ijuma 2/3/12 hoja nyingi nimekosa vilevile mnkali wa internet umepungua
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hllw there! nmetafuta binty ,lakn kila wakat naangukia pua. labda jf ntpata gr8 thinker mwenzang.....
0 Reactions
0 Replies
784 Views
Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Vigezo na Mashariti: 1. Awe christian na awe mcha mungu 2. Awe anatoka kanda ya ziwa 3. Awe atleast na diploma, bachelor, master yoyote bali isiwe ni polisi, mwanajeshi, nurse na kazi yoyote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom