Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshenzi wewe,ukome kunifuatafuata,tena futa na namba yangu!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Perry, Mar 20, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Hayo ni maneno ambayo nlitamkiwa na dada mmoja hvi miezi takriban minne iliyopita,kikweli huyu dada ni mrembo wa haja na nlikua na ndoto za kummiliki mapema iwezekanavyo.kisa cha kuniambia maneno hayo ni baada ya mie kumkumbushia ombi langu ambalo nlikua nimeomba kuwa mpangaji ktk moyo wake bt tofauti na matarajio yangu,nikawa nimejibiwa hvo..

  wel ckujibu chochote hadi mwenyewe jana aliponitext na kuniambia hvi ''excuse me diah, nichukulie poa bana,ujue at that time kwa kwel i was passing through hardtime of my lyf, ndo mana nkakujbu vile ila nimenotc u real loved me,so kama hutojali find a place tukae then tuongee mengi likiwemo na lile ombi lako'' me sijamjbu chochote hadi sa hz, sasa wakuu wangu nishaurin nimjbu nin huyu mrembo!?
   
 2. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Alipokuwa amekutegemea kumeota nyasi, kaamua kuanza kupitia maombi ya nyuma moja bahada ya jingine, shtuka miezi minne ni mingi sana, kama alikuwa serious na wewe wiki tu ilimtosha kukutafuta.....!
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo na me nimkaushie tu sio?
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Don"t speculate until you spectate!!!!!!
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mwanaume huwa hasusi................We vipi bana!
  Hizo bahati huwa mie sizipatagi....................LOL
   
 6. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Teh teh teh huyu kamwagwa na kidume sasa anataka ajiegeshe kwako
   
 7. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Nenda kaonge naye, msikilize, usiwe na dhana kama mchangiaji mmoja alivyosema eti amekataliwa alipopategemea
   
 8. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  Mrudie umpige jaramba halafu anza kwa kasi ya ajabu
   
 9. P

  Paul S.S Verified User

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Umenunua mkoko hizi siku za karibuni?.....joking
  Usikikatae wito mkuu...........Kaseme naye kisha through maongezi utajua kama anakutaka kwa dhati?, na wewe pia utajua kama unampenda bado
  Then amua
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Una visa vya warembo vingi weye, haya yule uliempa bonge la zawadi mmeishia wapi?
   
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  usikatae wito...kataa neno...tumia akili za mabyuway changanya na zako kabla ya kuamua...
   
 12. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  aahahahahahaha hahahahhah ahahahaahaha hahahaha hahhahahah
  ahahahhahahaha huyo aliwaweka kwenye short list na aliyetegemewa
  hajatokea ndio maana ila usijump kwenye conclusion nenda mpe muda
  wa miezi kama minne kula mzigo halafu utajua shida yake iko wapi
   
 13. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kila mtu anatoa ushauri kwa jinsi anavyofikiri yeye, Hapa ni mgongano wa mawazo na mwisho wa siku muhusika ndio muamuzi ama kunyoa au kusuka.....!

   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,268
  Trophy Points: 280
  Yaani mkuu wewe kwenda kugeuzwa SACCOS wewe unaiita hii ni bahati!!.....
   
 15. KIKUNGU

  KIKUNGU JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 853
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Mtambuzi bwana usikufuru mungu bwana,hata pale Meeda ulivyokuwa unakula KI-PORTUGUSE,ile ni bahati pia bwana,we unafikiri kuchomolewa ile kitu siku ile vijana wa sasa hawazipati hizo.Mwambie tu kijana kwamba asilembe sana kama mchuchu umerudi wenyewe basi kula kwanza mambo mengine rudi hapa uulize labda kama anataka kuoa kesho
   
 16. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa ulikuwa wataka kupanga moyoni mwake...ikimaanisha kuwa later ungebwaga manyanga...mie naona sio mbaya ukapange tena na kupata utamu...ukichoka hiyo nyumba kapange nyingine
   
 17. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Au atakuwa amehamia kwenye mjengo wake
   
 18. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kama bado unamfeel tafuta sehem umalizane naye
   
 19. Kadada

  Kadada Senior Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 180
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 60
  Kamsikilize then uamue mwenyewe
   
 20. g

  gwendoline mushi Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo umenena alikuwa na mtu sasa kaona hanajipya miezi minne mingi sana
   
Loading...