wanawake viumbe wa ajabu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wanawake viumbe wa ajabu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jobseeker, Mar 20, 2012.

 1. j

  jobseeker Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hili linanitatiza. Kila mwanamke umkutae awe mkubwa au ndio kwanza anaanza kujua maana ya mapenzi wooote muono wao juu ya uke wenza ni BIG NO!!! Yaani wanasema ni aheri kuwa single kuliko kuwa mke mwenza.

  Kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwaje kuwaje tena basi wanatokea wanawake hao hao kuwa na affair na waume za watu tena wakijua kabisa kama huyu mtu ana mke? na wengine mpaka wanafika kuwekwa kama nyumba ndogo? Kwa nini wakatae uke wenza lakini wako radhi kuibia ibia waume za watu? Kwa nini wanakataa kushare mume katika ndoa na kujua siku gani ni faragha yako, lakini wako na hiyari mikutano ya siri siri na ya masaa ya ajabu ajabu? Hivi wanawake wanapokubali kuwa na affair nini lengo lao hasa? kuvunja unyumba au kumkomesha mke wa anaefanya nae affair?

  Ama kweli wanawake ni vigumu kuwaelewa!!!!!
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  sijaona cha ajabu hapo kiasi cha kuita mwanamke ni kiumbe wa ajabu...........

  nilichoona ni nature ya kawaida ya binadamu wote ya umiliki, wanapenda kuhodhi mke/mume awe wake pekeyake, asiibiwe, asi-share.... ila yeye kuiba vya mwenzie anaona ni adventure,

  ni ubinafsi wa kawaida alionao binadamu, lakini kuiba mume/mke wa mtu si jambo jema basi kila mmoja kwa nafasi yake kama anatenda hayo aache
   
 3. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Hapo penye red najaribu kufikiria beyond the box, mahusiano ya kimapenzi kwa ujumla wake ni complex sana. Ktk hili hata sisi wanaume mara nyingi huwa hatueleweki pia. Nina mifano ya wanaume wengi ambao wameoa na ni wakali sana na wanawachunga sana wake zao lakini na wao huko maofisini na kwenye starehe nyingine ni wa kwanza kuiba iba mali za watu.

  Matazamo wangu: Hakuna mtu; awe mwanamke au mwanaume anayependa kuibiwa mpenziwe, na ni ukweli usiopingika kuwa huwa inauma sana kuibiwa na si mchezo wa kukubaliwa au kufurahiwa. Cha msingi kila mtu kwa wakati wake ajaribu kuwa mwaminifu na kutokupenda kuchukua au kudonoa wapenzi wa watu. Naamini wengi tukichukua tahadhari hii, madhara mengi ya fumanizi na kutendewa mabaya baada ya kufumaniwa haitakuwepo tena.

  Kama dini inaruhusu kuwa na mke zaidi ya mmoja, haina shida go ahead lakini ni vyema kufuata procedures zinazokubalika ili kuepuka migogoro isiyo ya lazima.
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Badili Tabia, tumegongana mawazo, na nimeshindwa kufuata maoni yangu. Unachosema ni kweli tupu.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  haya bwana
  am speechles
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...its complicated lakini sio ishu ya kuwatupia wanawake tu!...hata sisi wanaume tuna sehemu yetu katika hilo!...
  anaeiba na anaeibiwa wote ni problem tu!..na wakati mwingine inabaki kua ishu ya maslahi tu kwa hao wenzetu ila sio mapenzi ya kweli kwa maana ya kuishi mtu mke na mtu mme!..
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145

  Waswahili wakwambia sinzia tamu kuliko lala, back to topic mwanamke anayekubali ukewenza nyumba ndogo ni MASLAHI kwenda mbele upendo comes second, thats the hard fact.
   
 8. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  baba kelele za nini wewe huoni kuwa thats gud for us men
  unapata chance ya kuwatumia kama chombo cha starehe na unaburudika. be happy bana coz their confusion is our joy
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haielezeki,na kila anaefanya hayo anafanya kwa malengo yake,ukimuona mwenzio ana nyolewa bila kutia matiwa maji ya kichwa wewe chako kitie kabisa kabla wembe haujakufikia.......
   
 10. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Usimwamini mwanamke yoyote kasoro mama ako tu mzazi
   
 11. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  kwani kuna mwanamme ambaye yuko radhi kuwa mme mwenza? mbona sasa tunatembea na wake za watu?
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wanawake ni soo bila mitchell Obama asingekuwa rais wala JK bila ya Salma asingekuwa,na bila regina Lowasa hatakuwa rais 2015 behind every successful man there is a great sweet woman!!
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nadhani kuwajumuisha wote unakosea maana kuna wengine wanamisimamo yao wakisema no ni no kweli jambo asilimia kubwa wana character kama ulizoainisha
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  well well well!!
   
 15. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  ulilosema ni ukweli mtupu ndo maana ukiangalia hizi nyumba ndogo ndizi zinagarim kuliko ndoa yenyewe
   
 16. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mimi naweza kuifananisha maneno post yako na uwepo wa makahaba ambao wanalaumiwa kila kona bila kuwafikiria wanaume ambao ndo wateja wao wakubwa na kutokuwepo kwa hao wanunuzi ambao ni wanaume basi hata hao wanawake wanaojiuza wasingekuwepo basi hapa wakulaumiwa ni wote na siyo wanawake tu!
   
 17. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  napita tuu hapa
   
 18. Himawari

  Himawari JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 2,186
  Likes Received: 680
  Trophy Points: 280
  .. ????
   
 19. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #19
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tukishawaweka ndani wanakuwa hawana uhuru wa kutafuta masilahi. Wanawake wengu hujidai mapenzi, mapenzi, lakini ukweli ni kuwa wako kimasilahi zaidi kuliko mapenzi.
  Tatizo letu wanaume nalo ni kuwa tunatowa kila kitu kuhakikisha kuwa vimada havitukimbii vikaendea masilahi bora zaidi na tunawaona wake zetu kuwa tumeshawaweza hawana pa kwenda hivyo tunapunguza jitihada zetu na kuzielekeza kwa mahawara!
   
 20. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Pengine hukumuelewa mtowa mada anauliza nini! Anachoshangaa ni kwanini wanawake wanakuwa wakali kuwekwa uke wenza wakati wengi wao wanajiweka uke wenza binafsi yao?
   
Loading...