Natafuta mpenzi mwenye ndonya!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mpenzi mwenye ndonya!!

Discussion in 'Love Connect' started by Mpigaji, Mar 25, 2012.

 1. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa binti wa Kitanzia mwenye urembo wa asili asiyetumia mkorogo.Lakini LAZIMA AWE NA NDONYA katika sura yake!Napenda awe MGOGO au MMAKONDE!Elimu kuanzia kidato cha 4,umri kuanzia miaka 24!
   
 2. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Btw, ndonya ni nini?/ni ipi hasa?

  Wagogo najua huwa/walikuwa wanaweka kama kovu la mviringo katikati ya paji la uso. Wamakonde wao ukiacha chale (kubwa)/michoro usoni, kwa wanawake walikuwa wanautoboa mdomo wa juu na kuweka kipisi cha mti cha mviringo hivi. Kuna mtu aliwahi kuniambia hiyo ya wamakonde ndio 'ndonya' (na si ile ya wagogo), lakini mimi kwa nilivyokuwa najua hiyo ya wagogo ndio 'ndonya' (lakini sijui ile ya wamakonde inaitwaje!) - ilikuwa ni ubishani ambao haukwisha!
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Zote ni ndonya tu!Ile ya Wamakonde ni safi sana!
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wamakonde si uende Mtwara au Mozambique kabisa!
  Kuna jamaa anaoteka Lichinga ntamstua
   
 5. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nitashukuru sana!!
   
Loading...