Si ni kweliee???

Si ni kweliee???

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,594
Reaction score
1,863
Inavyo onekana kwenye mijadala ya mapenzi na uhusiano, hasa kwenye kile ki sub furum {LOVE CONNECT} ikitokea kajitokeza mvulana/mwanaume anatafuta mpenzi/mchumba au marafiki utakuta watu wachache sana wamechangia, wakati mwingine hakuna kabisa!

Ila ikitokea msichana/mwanamke anatafuta, within a 20 mins, comments zaid ya ishirin zisha dondoshwa! Uja hesabu pm!

hii inakuaje?
Weka mtazamo wako na assumptions zako!
 
Ni kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.
 
Hilo nalo neeno....
 
Wanaume tamaa mbele mauti nyuma,wakiona chakula 2 wanawaza kula!
 
Ni kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.
hapo umesema ndugu
 
Huo ndio ulijali,mmesahau mwanamke akiwa na kigudulia malaya ila mwanaume mkali?
 
Ni kweli..! Wanaume tunaongoza kuwa matapeli wa mapenzi...!
Si rahisi mwanamke mwenye ndoa akadanganya mtandaoni kuwa hana mume, na ni rahisi mwanaume mwenye ndoa akadanganya hana mke.
Ukijimix kwake unatafunwa alafu anadai haujafikia vigezo.

Lakin sio wote, ila na mashaka na idadi ya wasicha kwenye jf ni chache saaana, na waliopo tayari wana wao na ni wajanjaa! Fahamu tuu msichana amesha fahamu na kucheza na internet baasi teaana!
 
maybe kwa sababu wanawake mlio wengi mnawabania sana ndiyo maana watu wanajaribu kutafuta mzigo humu.
 
naturally men are predators, so they have to be the prowl 24/7
 
Mkuu hiyo sentensi sijaielewa...unamaanisha nini?

Anyway, japo nilikuw na haraka kidogo, but naamaanisha: ukiona msichana tayari yuko kwenye mitando ya net ujue ana marafik wengi na wa aina tofauti kwa hiyo hata ukijitokeza mwanume uko serious ni vigumu sana kukuelewa msimamo wako au kusoma msimamo wako na kuutafakari.
 
Inavyo onekana kwenye mijadala ya mapenzi na uhusiano, hasa kwenye kile ki sub furum {LOVE CONNECT} ikitokea kajitokeza mvulana/mwanaume anatafuta mpenzi/mchumba au marafiki utakuta watu wachache sana wamechangia, wakati mwingine hakuna kabisa!

Ila ikitokea msichana/mwanamke anatafuta, within a 20 mins, comments zaid ya ishirin zisha dondoshwa! Uja hesabu pm!

hii inakuaje?
Weka mtazamo wako na assumptions zako!

Wanaume tunaishi kwenye polygamy siku zote. Tena tuko tayari kubanana kwenye mwanamke mmoja mradi tu awe mjanja wa kutudanganya kuwa kila mtu atapata kwa wakati wake>
 
sasa wanawake wanaogopa wakishobokea wataonekana m.a.l.a.y.a.....wakati wanaume wanapenda try kuonekana kisume kuwa amekamatia totoz wengi
 
Back
Top Bottom