nini mwisho Jane? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

nini mwisho Jane?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Mar 26, 2012.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  :crazy:Jane na Vivy wanafahamiana toka walipokuwa wanasoma Advance katika shule moja,Jane alikuwa na asili ya wivu kwa vivy.walipokuja kukutana chuo kimoja Jane akauanzisha urafiki kwasababu watu walikuwa wakimchukia kwa maringo aliyokuwa nayo na hatimae kukosa rafiki kabisa.Katika mwaka wao wa kwanza chuoni,Jane alipata mwanaume ambae alikuwa wa mtu tayari hapo chuon huku akimtangulia madarasa mawili.Katika mapenzi hayo Jane alishika nafasi hii.
  1.kuhonga
  2.ngono
  3.kwenda na jamaa club km show tu
  4.kuongozana nae kwa usiku tu.
  5.kulipa nauli kipindi cha likizo
  mwenye mali alikuwa akispend zile hela alizohongwa jamaa,hatimae mwenye mali akagundua kuna kitoto cha fest ia kinaiba,jamaa akakabwa koo ikabidi ammwage yule Jane,jane alimpenda sana kijana ikabid awe anabembeleza mapenzi kwa jamaa,jamaa akawa anafanya atakavyo,akijisikia kumdunda,waende lodge dem alipe n.k.Vivy akawa anamshaur aachie ngaz cz kila mara Jane alikuwa wa kulia tu na vituko vya jamaa,akaendelea kuganda mpk wakafika mwaka wa pili ambapo Vivy akajipatia kijana wa fest ia ambae alikuwa akijazia vicheti kazin.Jane alimcheka sana vivy na kumtenga kwamba inakuaje yeye anatembea na kijana wa fest ia baada ya kuona maisha ya mwenzie hayayumbi kimapenzi kama yeye majungu na kashfa akawa anarusha kwa vivy,kwa kufupisha ni kwamba vivy anandoa na yule kijana na maisha mazur sana,BACK TO JANE,alipoona mwenzie vivy anaujauzito mwaka wa tatu,akaona bora nae ajilengeshe kwa yule jamaa wa kupenda kuhongwa labda atamnyang'anya bi mkubwa ili awe wake,kweli akanasa mimba,likizo akawa harud kwao cz wazazi wakal,akajifungua akamwambia jamaa,jamaa akakubali,bt haudumii chochote, i luv u zinapatikana sana.Dem wa yule jamaa alipoona Jane anamimba akamwacha yule kaka,akidai hawez kuendelea nae cz alimkanya mara kibao kuhusu Jane,Yule dada hatimae akapata kaz nzur,Jamaa aanasota mtaani,Jane analea bt kaz hana lakn jamaa anampa hope za kumuoa huku nyuma ya mgongo akibembeleza dem wake warudiane cz hataweza ishi na Jane.Huku jane anapewa hope, nae anaamin kwamba ataolewa na jamaa sababu kamkamatisha mtoto na ndo hicho kinachompa nguvu.
  Hebu semeni wanaJf,mwisho wa Jane na maisha yake ni nini,ataolewa kwel cz ya mtoto?
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,244
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Daaah stori nzuri. Sheikh yahaya angelikuwa hai angelishatabiri.. Yule mwanae alorithi mikoba yumo humu ngoja atakuja
   
 3. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  yote maisha
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  huyo mwanaume ni golddigger, hawafai hao wanawake wote wawili....

  na Jane hana mwisho mzuri na huyo kijana, ,hata akiolewa kijana atakuwa mtu wa kucheat....ingawa posibility ya jane kuolewa ni ndogo...... maana huyo kijana anahatihati ya kuangukia kwa yoyote mwenye hela.....

  jane angekuwa na akili, angemwaga huyo kijana,,, lakini kinachomponza ni kutaka kuwa kama fulani....kutaka kuolewa kwa kuwa tu vivy kaolewa, kuleta mashindano yasiyo rasmi na vivy, na itamcost....
   
 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Haijalishi ataolewa or not but hatapata mapenzi ya dhati kwa huyo jamaa, she is living in denial. Umesikia wapi kuwa ndoa ndio kikomo cha mapenzi.
   
Loading...