Wanawake sie mmmh !! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake sie mmmh !!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaNanii, Mar 25, 2012.

 1. K

  KakaNanii JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  Baadhi ya sehemu kubwa sana ya sisi wanawake ,hutumia watoto wao kama ngao yao ya kupata wao masilahi yao !
   
 2. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Oohhh yes, wanawake wengi 'hulengesha' kwa wanaume ili wajazwe na kutengeneza mrija wa huduma kutoka kwa mwanaume. Sorry, akina dada kwa kuwa so open.
   
 3. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  mmmh! what a claim from a woman.
   
 4. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  kama sijaelewa vile
   
 5. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Kaendelee na shughuli zako.
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  duh, hata wanawake wapo mazoba.
   
 7. a

  asakuta same JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 15,065
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmh! kumbeeee.:scared:
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  mmmmmmmh.....ache niende mtaa wa pili...
   
 9. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna kajuukweli ndani yake uhusuani wanawake wa nyanda za kulee
   
 10. c

  charndams JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 437
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  kwani kosa hapo beste? hujui ushapu wa ngiri ni meno zake? kama vile sisi wanaume tutajisingizia na shughuli kibao na nyinyi pia lazima mtumie trick ipasavyo
   
 11. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  hilo sio jibu kabisa...mana hata mie sijaelewa
   
 12. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Mi mtaani hapa nimesikiziwa nimewapa mimba wanawake watano ambapo sijawahi lala nao kisa ofa nazo wapa wanataka nilee mimba wengine watoto
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  tuliza akili utaelewa tu taratibu!
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ungekuwa hufuatani nao yasingekukuta. Mimi wanawake ninaojua wanatumia watoto wao kama vigezo ni wale ombaomba
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Wamezinduka , wameona wameukalia uchumi walionao......
   
 16. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwaupande wangu naona kumfanya mtoto wako ndio ATM kwa mume sio sawa as long as nyote mnafanya kazi....
   
 17. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  utaelewa kesho
   
 18. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli hata mimi sijahelewa.
   
 19. Safina

  Safina JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 498
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mpaka kesho mambo yatakuwa haya, haya ya kutoheleweka.
   
 20. hengo

  hengo JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 403
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hapo umenena.Eti kila siku mtoto anaumwa,mara ada ya shule na nguo +viatu, mara chakula kimeisha,eti oo gharama za maisha zimepanda laki moja kwa mwezi haitoshi inabidi iwe laki 2.5/3 kwa mwezi.Mkiambiwa pesa ngumu mnakimbilia Polisi,ustawi wa jamii na kwa waajili ili kuanza kunyanyasana,kuharibiana CV na kupotezeana muda .

  JAMANI MNATUNYANYASA SANA NYIE WANAWAKE
   
Loading...