Mume Anahitajika

Tiamaji

Member
Oct 17, 2011
33
32
Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.0719144177 or 0764934546
 
nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.
weka wazi bana pls wengine washakutana na mashoga wanaomba kuolewa humu sasa atupendi haya maombo kuendelea mbaya wamekuwa wakichat mpaka wanapeana adress kukutana pale mliman city wanakuta mlegezo full sasa hayo mambo si mbaya kuavoid kuweka jinsia ..nina jirani yangu mwanamke yuko hapa mbezi ameoa mwanamke mwenzake ..sasaaa wasijejiorodhesha mwisho wa shuguli loh
mnaanza kutukana nana humu..
 
Tiamaji alituelezi kujua we ni mwanamke ama mwanamme
angalizo tu mdogo angu
mungu akutangulie na wazo lako naamini umemshirikisha mungu else kuna magubeli yanapete humu yakaija yanavua na unaingia mkenge yakimaliza hitaji lao
lazima ujute kujiunga
 
Nipo serious na ninahitaj mume ambaye atakuwa na umri wa miaka 27-31,awe na kaz yoyote halali na elim yoyote. Mi umri wangu ni miaka 27 na nimehitim chuo kikuu na ninakazi kwa sasa. Karibu!.
hiyo nyekundu std 7 inaingia??
 
jamani mi ni msichana. Pia mod ameichakachua thread yangu mi nliandika vzur tu na nkaweka contact nashangaa wamezitoa. Ok 2wasiliane kwa 0719144177 or 0764934546
 
Una miaka ngapi hivi Klorokwini? acha vijana wajaribu bahati yao.:wink2:
Cheti kinachakachulika RR, unaangalia soccer? kuna jamaa anaitwa Kanu birth setifiket inasema jamaa yupo under 30 lakini uso wake unaonesha ana umri kama wa Slaa.

Nyinyi kule MMU si mlisema age ain't nothing but a number? Mimi nafata ushauri wenu
 
Cheti kinachakachulika RR, unaangalia soccer? kuna jamaa anaitwa Kanu birth setifiket inasema jamaa yupo under 30 lakini uso wake unaonesha ana umri kama wa Slaa.

Nyinyi kule MMU si mlisema age ain't nothing but a number?
Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply. :)
 
Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply. :)
Sasa nikichakachua cheti kweli atastuka? manake mimi uboho (dah kiswahili kigumu aisee) wangu ukiniona utazani teenager.
 
dada husninyo namaanisha ndo maana nimeweka na namba ila naomba pls kwa alie serious coz cpendi kusumbuliwa..
 
dada husninyo namaanisha ndo maana nimeweka na namba ila naomba pls kwa alie serious coz cpendi kusumbuliwa..

haya mpenzi, kuwa tu makini. Hata humu kuna heartbreakers. Mi kuna mmoja alishabreak moyo wangu ila ilichukua siku moja tu kuheal.
 
vigezo vyote viko sawa hyo 2 ndo ilikuwa na walakini sababu mpenzi wangu wa kwanza baada ya kwenda sekondari alinipiga chini kisa mi sikufaulu!
 
Slaa ni kijana sana, ni uboho wake tu ndio unamfanya kuonekana mzee. Kweli wengi wanasema age sio kitu but mtoa mada has made a restriction hapo, so you have to comply. :)

Mi nasema hivi, ndio ni kiswahili na wala sio tusi lakini haki ya mungu mi nakupiga ban na uwe mod wa kwanza kupigwa ban!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom