...Kwa ujumbe huu... Unamaanisha mapenzi ya Dhati.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...Kwa ujumbe huu... Unamaanisha mapenzi ya Dhati....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by WaliNazi, Mar 25, 2012.

 1. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  .....ninaishi mbali na mpenzi wangu.... Nimetofautiana nae jioni ya leo..... kama mnavyojua mapenzi ya mbali hayakosi wivu.....

  ...baada ya kutoelewana kwa muda....akatuma hii msg...
  ..."YAANI MPENZI SIKU ZINAVYOKWENDA NDO UNAZID KUUTEKA MOYO WANGU,NIHURUMIE NATESEKA JUU YAKO(yani mimi)..akaendelea... "SINA IMANI NA MULE KWAKO....UTALALA PEKE YAKO KWELI...." mwisho wa nukuu....

  Sasa ndugu zangu ni kweli huyu anamaanisha mapenzi ya dhati....
   
 2. Taz

  Taz JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 305
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa swali, nitarudi...
   
 3. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Anakupenda mpaka utakapo-prove otherwise, hisia sio nzuri.
   
 4. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwanin hujaelewa... mpenzi wangu baada ya kutofautiana naye ndo akatuma ujumbe huo....
   
 5. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....let me make this more clearer..... mimi nimfanyakazi na yeye n mfanyakazi ... twaishi mikoa tofauti........ na mara nyingi uwa twapeana maswali ya "KUSHUKIANA"... ...kama hakuna anayemuamini mwenzie... Nafikiri mmenielewa naw..
   
 6. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  .....prove otherwise.... una maanisha nin...??
   
 7. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Anaonyesha jinsi asivyokuamini basi! Hiyo bold ndio madhui ya hiyo msg!
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....ok....

  .................kumbuka kwamba I have no reason to trust that she keeps her love on me...........

  ...we are miles apart...
   
 9. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya mbali wizi mtupu...wee bora utafute mwengine ulipo maana unaonekana wee mwenyewe u dnt trust her
   
 10. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...... I never trust my partner all my life.....
  ....how do u trust urs...???
   
 11. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Basi mkishaoneshwa kupendwa mna pozi. Mmegombana ila mwenzio kajirudi lakini bado unataka kufanya mambo yawe magumu.
   
 12. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  well maybe thats y u shuld stop tripping and just xontinue with life na kuchapa ilale all that u see uko ulipo
   
 13. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ...si kwamba na tabia za chapa ilale..,. Naogopa kumkabidhi moyo wote...that chochote kitakachotokea ni ji adjust fasta....
   
 14. alexmahone

  alexmahone JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 60
  Vijana kwa maneno..,we unaujua sana moyo wa mapenzi eeti? Haya hujamkabidhi moyo wote.,umemkabidhi kiasi gani.,robo,theluthi,nusu,robo tatu.?
  Hizo zote mbwembwe.,huyo bi dada kakushika tena pabaya kama ni paka kashikwa shingoni,ingekuwa ng'ombe kashikwa kwa pembe..wacha kabisa huwezi kuruka.,na usjaribu,siku mtakayo achana ndo utajua kuwa ulimpa moyo wote.,.

  Ushauri..
  Panda gari nenda mfuate,.acha mawivu na jakamoyo unayojipa.Kampe mambo,hakikisha anaenda kibo mpk waarabu wake washuke.Usisahau kumbebea zawadi kama vyupi,perfume wanapenda mambo madogo hawa..,
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  vuruganeni tu hadi mpasuane vichwa.
  Mtapata cha kusimulia wajukuu zenu.
   
 16. Lucas

  Lucas JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 2,452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  tena wafuatilie kwa ukaribu ili uje uandike story ukijiita walinazi
   
 17. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ukauzu sometimes muhimu ili aone ugomvi wa kitoto haufai
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,231
  Trophy Points: 280
  wivu utakuua,
   
 19. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #19
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33

  ...wewe huna wivu kwa mpenzi wako....??
   
 20. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #20
  Mar 25, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  When someone doubts u too much.. There's a huge possibility anadhani unafanya kile anachofanya yeye huko alipo.. So both of you have something in common.. Either wote mna cheat au mpo very insecured!
   
Loading...