Hivi how do u feel when your partner talks to the ex? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi how do u feel when your partner talks to the ex?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by M'Jr, Mar 26, 2012.

 1. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread,

  "Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever for me. Sasa baada ya kubreak yapata miaka kadhaa sasa tumebaki kuwa marafiki na huwa tunawasiliana mara kadhaa kutakiana hali. Kila mmoja ameendelea na maisha yake na when we talk ni salamu tu then basi, maana kwa sasa yuko nje ya nchi kwa masomo.

  Sasa for a while nimekuwa nahisi the current bf wake anaingia kwenye fb account yake so kuna wakati anaweza kuwa online tukachat lakini najua this is not the one. Sasa friday nikiwa online naye akaingia, mi nilipomuona nikampa hi then nikamuwish nice weekend kwa wakati huo sikujua ni nani kama ni yeye au bf wake (huyo bf wake ni mnigeria)

  Basi from nowhere yule jamaa akaanza kunishushia matusi makali makali, dah kiukweli i tried to be a gentleman ila nikajiuliza where the hell all those came from! I broke with the girl kwa zaidi ya miaka minne and theres nothing going on maana hata kuongea tunaweza kuongea baada ya miezi kadhaa so i dont know what was the reason.

  Baadae jamaa akaniblock huko kwenye fb ya gf wake mi nikasema hamna taabu, ila jioni nikampigia huyo gf wake nikamwambia tu one thing "Mwambie huyo bf wako akue" nikatania pia, "if he doesnt i will take u back coz i know i can. Ka story kanaishia hapa.

  Sasa swala la msingi hapa ni kuwa, what do you feel mpenzi wako anapoendelea kuongea na ex?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Kwenye story yako wewe unaonyesha udhaifu kuwa ulibreak na huyo msichana lakini bado una kisebusebu!
  Mwache mwenzio aendelee na maisha yake bana, mbona unataka kumharibia binti wa watu?...kama hutakiwi kubali mkuu!

  Jitahidi kuji-distance na ex wako, especially kama kila mtu ameshaanza maisha yake...mpaka hapo jua kuwa yule dada ana maswali ya kujibu kwa mtu wake wa sasa!
  Mimi mwenyewe nikihisi maongezi au chatting kati ya wife na ex wake, i must go mad, coz wakikubaliana kitu ni lazima wakitimize. Jamaa atataka kumwonyesha mke wangu kuwa ana mauwezo, na atajitahidi kum-allure hata kwa kukopa Saccos na kuingia madeni!...huh!
   
 3. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mhhh kwa kweli kuna ka insecure fulani kanakupata, hasa ukizingatia palikuwa na mapenzi, na watu wengine kwa kweli huwa hawaachani moja kwa moja, ila cha muhimu ni kujiamini tu na kumwamini mwenzako kwamba hataweza kukubadilikia,na ww hukuwa na haja ya kumtafuta tena kwa simu kumweleza, hapo inaonyesha kama ulichukizwa au na ww bado unamtaka mpenzi wako
   
 4. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kuna mawili, moja katika argument ya mimi na yule bwana hakuna hata sehemu moja niliyomwambia kwamba yule bibi aliwahi kuwa gf wangu. So sina uhakika kama alinijia juu kwa maana ya kujua mahusiano ya mimi na huyo bibi ya zamani au ni nini sababu.

  La pili ni kwamba unapobreak na mtu haimaanishi mnakuwa maadui hata kusalimiana tena hakupo, mi siamini katika hilo
   
 5. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Nilichukizwa na matusi aliyonitukana na ndio maana nikamwambia huyu bibi just tell him akue though baadae nilimwambia tena asimwambie. Then nikamwambia huyo bf wake ameniblock kwenye fb na nikamwambia yule bibi asini unblock ili kama hilo ni tatizo lisiendelee
   
 6. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,678
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Parameter zangu;
  1)Naanzia kwenye green line,
  2)Najiuliza alijuaje ww ni ex wa gf wake
  3)then why aanze kukufuatilia na kuchart na ww

  Ni hivi mkuu, kuna wizi mtupu unaendelea kati yako na huyo gf. You guys are flirting too much hadi mnamshtua huyo jamaa. Kama vipi rudianeni muoane kabisa if you feel you have unfinnished business between you....Sio mmekaa kurusha roho za wenzenu halafu mnaclaim innocence kwasababu hamjakutana(uzinzi ndo huanza hivihivi).....
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mkuu,
  Ishu ni extent ya maongezi!
  Kwani hakuna wanawake wengine mtaani aisee hadi umkomalie mlietemana?
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  inategemea mnachati nini.....
  kama mambo ya mapenzi nitareact....
  kama ni salamu wala sitamind, ....kwani mkianchana mnakuwa maadui?
  kwa nini usijiamnini?
  utagombana na ma-ex wangapi?

  mapenzi ni trust, kama kaniambia ananipenda, na matendo yake yanadhihirisha hayo kwa nini nijipe hofu na kiroho papo?
  mjini kwenyewe unaweza kukuta mtu ana ma-ex chungunzima, utafuatailia wote utawezea wapi?

   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  exxx...mi naona wewe haunakosa
  ni uyo onkoko hajiamini....
  amia kwa simu..mchat mpk nit kali akiwa naye:emptybath:
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Vikizidi sana vinauma wewe.
   
 11. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mimi mpenzi wangu akiongea na ex wake ntapata wivu na hasira.
   
 12. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kurudiana kunaanzaga ivoivo...salamu salamu mwishowe mnakumbushia enzi
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  You are taking it too seriously. Alisema kwa kutania tu. she wanted you to feel better baada ya mpenzi wake kukutukana, so you know that she doesn't support his behavior.
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Kwa kweli, ukinikuta mie na ex tunaongea ongea, umeliwa pakubwa sana.

  Hakunaga kuachana, ni kupumzika tu. Mkikutana sehemu kondyusivu:A S 13: mnakumbushia.

  Hivi maximo, hujui mbwa akiichezea ngozi anayoilalia mwishowe huila?:violin:
   
 15. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  My dia kaka....japo unadai umeachana na huyo ex wako bt bado unampenda mbaya. Kama vipi zungumzeni.
   
 16. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Sijasema bado nampenda ila nimesema she has been the best love of my life
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Mar 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa....unfortunately many people still do communicate with their exes. That's why I don't ever buy the nonsense if I'm told they don't.

  And remember, they say old flames are easy to ignite. But then again if you also have moved on and if you know she is in a relationship why try to communicate?

  Would you be happy if your current girlfriend communicates with her ex boyfriend(s)?
   
 18. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaa "Hawara hana talaka aka mtalaka hatongozwi eeh" No bhana sio hivyo
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Kama umesema kweli vile :hand:
   
 20. M'Jr

  M'Jr JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 3,539
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  If you know that no matter what you do they will still communicate, why bother tryin to find out if they still do? I have my philosophy in love;
  I don't wanna know mpenzi wangu anawasiliana na nani coz i believe if she loves me no matter who she talks to she will never do anything that she knows would hurt me and if she does then she doesn't love me period!"
   
Loading...