Pumzika kwa amani mwanangu

Michael Mwakyusa

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
306
55
‘Ni mwaka sasa umetimia tar kama ya leo 28/3/2011 nilipoondokewa na wewe mwanangu kipenzi IKUPA MWAKYUSA (14yrs) pale Lugalo hosp,najua ulilala tu na sasa umevikwa mwili mpya usiokufa ukipumzika mahali pema peponi‘.msg to jf bros.
 

0008.gif
0018.gif
0009.gif
0016.gif
0008.gif


Pole sana mkuu Michael wewe na familia yako.
Uchungu wa kumpoteza mwana ni mzazi tu
anaufahamu. Tungependa kuungana nawe
kwa siku hii ya kumbukumbu. Mwenyenzi Mungu
Azidi kumlinda malaika wake Ikupa.
AMEN.

0021.gif
0024.gif
0024.gif
0021.gif


 
Hiyo ni njia wote tutapita!La muhimu ni kujitengenezea mazingira mazuri kwa ajili ya maisha ya milele.
Pole sana myk,,
 
Aisee.... Inauma sana. Inaumiza sana...

Kwamba watoto na vijana wadogo wanatangulia mbele ya haki wanawaacha wazee na vikongwe.... Inauma sana

Pole sana Michael. Mungu aendelee kukutia nguvu

RIP mwanetu Ikupa.:rip::amen:
 
Mkuu pole sana,bahati mbaya bishanga ni maimuna wa kompyuta na hivyo naomba uniunganishe na mimi katika kadi aliyokutumia Afrodenzi hapo juu.
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya mwanetu,Ameen.
 
Pole sana mkuu,tutakutana siku ya mwisho tukiwa tumevaa mwili mpya lakini kwa wale wateule.Cha msingi tuyaishi maisha yanayompendeza mungu,tutonana tu siku ya mwisho.Pole tena mkuu
 
Pole sana Mpendwa wetu mungu aendelee kuwatia nguvu na ujasiri
Tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi ..
 
Pole sana baba Ikupa,Mwenyezi Mungu azidi kuwatia nguvu ww na familia yako. Sote ni mavumbi na mvumbini tutarudi.
 
Pole sana Michael. Tushukuru kwa kila jambo. bali kibinadamu ni ngumu sana hadi kwa msaada wa Mungu.
Ni malaika na yupo mbinguni sasa akiimba na kusifu pamoja na malaika kama ilivyoandikwa.
Mungu akupe faraja ya milele itokayo kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom