Pata mchumba hapa kwa haraka

jamani wana jamii kuna site mpya ya kutafuta mchumba ya east africa.join na uwanze kutafuta mchumba
Online Dating at Swahili Singles
ni site mpya,lakini inakuwa haraka.....jiunge ili network hikuwe na uwongeze nafasi ya kupata mwenza,just sign up

mbona picha za members mumeweka nje nje hata sio tusiotaka kuingia tunaona nani yumo

BOMU memba watano sio mbaya

weka privacy ya hali ya juu watu watajiunga
 
Back
Top Bottom