Mwanandani wangu kaolewa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanandani wangu kaolewa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ANGA, Mar 27, 2012.

 1. A

  ANGA Member

  #1
  Mar 27, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikua na mpenzi wangu ambae nilimpenda sana na bado element za love zipo kwake, nilianza nae 2007 nikiwa f5 tuliishi vizuri na mimi nilikua wa kwanza kwake,penzi lilikuja kuingia doa 2011 pale wazazi wake walipo taka kumuozesha kwakua ni binti wa kiislamu na ana asili ya kiarabu, kiukweli swala la kubadili dini yalikua ni maamuzi magumu na mapema ingawa huko mbele ningefanya ivyo, kwa ufupi hadi sasa kaolewa lakini bado nampenda sana na amebadili namba,NIFANYEJE?
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,271
  Likes Received: 4,249
  Trophy Points: 280
  msahau uendelee na maisha yako......kumbuka maarab sio mtu mzuri shaurilo......
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,911
  Likes Received: 1,953
  Trophy Points: 280
  Maswali mengine hata kujibu inashindikana!!!!
   
 4. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #4
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,661
  Likes Received: 5,835
  Trophy Points: 280
  NIFANYEJE?
  I think u nid to concentrate na shule bado..amekuonesha tu muda wako bado...
  in anyway, "The beautiful ones are not yet born"..y nt wait!??
   
 5. bht

  bht JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,226
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  mwanandani ni lile shimo linalowekwa jeneza/maiti wakati wa mazishi (ndani ya kaburi panachimbwa katikati hivi, ule ndo mwanandani)

  kama ni mpenzi basi MWANDANI wako
  naweza kurekebishwa kama nimekosea.
   
 6. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mie mpaka nimeogopa kuchangia lol.
   
 7. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #7
  Mar 27, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Wangu mie anatarajia kuolewa!! na pia sijui la kufanya!! wallah sijui nifanyeje?! sina uwezo wa kumuoa coz nimemaliza chuo juzi tu na kazi sina basi roho yaumaaa!!
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 17,661
  Likes Received: 5,835
  Trophy Points: 280
  kuweni wavumilivu wandugu...love makes no haste!!!
  yule akukataaye kwa visingizio hivyo siye akupendaye kwa dhati..unataka nini zaidi ya msaada huo? keshakusaidia kutowaza sana....
   
 9. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  Huyo ni mwandani wako au mwanje wako?

  Unaongelea mke wa mtu hadharani? we kweli hujitambui. Pole!

  Labda akuoe mme wa pili?
   
 10. u

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 2,503
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  We mpuuzi kweli, Kama kaolewa unataka ufanyaje zaidi ya kumwacha.

   
 11. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,029
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  mmh hayo ndo yale mapenz ya chuo ya kudanganyana! Hana mapenz ya dhati huyo angekua nayo angekusubiri mpaka kieleweke,anyway pole!!
   
 12. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 203
  Trophy Points: 160
  wacha upuuzi we,wanawake mbona wapo wengine wazuri kushinda uyo
   
 13. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,148
  Likes Received: 1,572
  Trophy Points: 280
  Haya mie ushauri wangu kama kweli umeshindwa kuamua

  Kama unajua anapoishi vile? haya nenda wanakoishi kamuombe mumewe akupe mkewe kwa siku moja labda utamu ule utakuwa umekwisha this time then move on.

  katafute wa kwako angekupenda vile angekuomba ubadili dini then kama ulikuwa tayari kufanya hivyo later
   
 14. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,148
  Likes Received: 1,572
  Trophy Points: 280
  kumwita mtu mpuzi si kumtukana jamani, why unatukana na thread kaanzisha yeye? au hujui mapenzi???
   
 15. odinyo

  odinyo JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 424
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Achana na mke wa mtu, si vema kwako kumtafuta na akitokea mmekutana usirudishe hisia za mapenzi kwani mke wa mtu ni sumu kali, unaweza kuuwawa dogo. ila NI hiviII

  umalizapo shule, fanya kazi au biashara then after sometimes utakapo jijenga vizur kui uchum UTAPATA DEM BOMBAAAAA zaid ya huyo muarabu na hivi na ww utakua ume develop umahiri wa mapenzi bas utafaid wwww
   
 16. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,216
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hivi likizo ndogo imeingia, humu tutegemee mengi.., mpaka wakifungua mmhh!
   
 17. M

  Mzee wa SUP Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe holewa au kama vipi jiue na wewe.
   
 18. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  umelaaniwa ninimpwa we unatunza mwenzio anaoa unasema mwandani wako
  unajua maana ya ndoa hope muhusika ajakusikia
   
 19. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,663
  Likes Received: 111
  Trophy Points: 160
  ERROR (321) : Invalid PetCash transaction, quick reply aborted
   
 20. Pindima

  Pindima JF-Expert Member

  #20
  Mar 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 349
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Asante mama isaac !!
   
Loading...