Msaada jamani: Mpenzi wangu anaolewa

spike

Senior Member
Jan 8, 2011
112
15
Mwisho wa mwaka jana nilimpata my soul mate mwanamke ambae alikizi kila kigezo nilichohitaji kwa mwanamke, ninampenda sana nimemfanyia kila ki2 kicho ndani ya uwezo wangu, namjali sana sita weza muumiza kwa makusudi.

Ni mpole ana nidhamu inshort a wife material. Huyu binti aliwahi kuchumbiwa wakaachana mwaka jana mwezi wa 11 kwa sababu jamaa ali mcheat 2 wik ago, wazazi wa mwanaume walienda kwa wazazi wa mwanamke kuomba msamaha wakakubaliana na wakapanga ndoa ifungwe june, wazazi wa binti wamemng'ang'aniza olewe kwa madai yake alikua nampenda zamani sio sasa, naombeni msaada nifanye nini wadau nipingane na wazazi au?

Ni vigumu kumpata binti kama huyo tena ni mwache aende kwa jamaa wakati najua atamuumiza tena?

Yeye yuko Mbeya wazazi wako Tanga.

Naombeni ushauri wadau ndiyo naachwa mwenzenu.
 
Kama anakupenda anakubalije kuolewa na mwanamme mwingine?
Huoni kwamba hili ni time bomb?
 
future ya uhusiano wenu imebebwa na msimamo wa huyo mwanamke...... hakuna cha kukushauri hapa mkuu, huyo mwanamke ndo mwenye mustakabali wa maisha yenu.........
 
Mwisho wa mwaka jana nilimpata my soul mate mwanamke ambae alikizi kila kigezo nilichohitaji kwa mwanamke, ninampenda sana nimemfanyia kila ki2 kicho ndani ya uwezo wangu, namjali sana sita weza muumiza kwa makusudi.

Ni mpole ana nidhamu inshort a wife material. Huyu binti aliwahi kuchumbiwa wakaachana mwaka jana mwezi wa 11 kwa sababu jamaa ali mcheat 2 wik ago, wazazi wa mwanaume walienda kwa wazazi wa mwanamke kuomba msamaha wakakubaliana na wakapanga ndoa ifungwe june, wazazi wa binti wamemng'ang'aniza olewe kwa madai yake alikua nampenda zamani sio sasa, naombeni msaada nifanye nini wadau nipingane na wazazi au?

Ni vigumu kumpata binti kama huyo tena ni mwache aende kwa jamaa wakati najua atamuumiza tena?

Yeye yuko Mbeya wazazi wako Tanga.

Naombeni ushauri wadau ndiyo naachwa mwenzenu.

Kaka hapo penye nyeusi sana (bold), umetuchanganya mno, Unamaanisha mchumba uliyenaye ulimpata mwaka jana mwishoni, na kabla ya hapo alikuwa na mtu ambaye walichana naye mwaka jana mwezi wa 11 (Maana yake ulikutana naye muda mfupi sana baada ya yeye kuachana na yule mchumba wake!). Wiki mbili zilizopita (umeendika kwa kizungu, 2 weeks ago, Huyo mchumba wako alifumaniwa na mchumba wake wa zamani! Na hapo sasa wazazi wameingilia kati!

Nimesoma sijaelewa, ila kwa kifupi na kwa ushauri wa bure huyu dada ana play arround na akili zenu, nakushauri anza taratibu kabla hajakupatia magonjwa ya kutisha!
 
unataka tukwambieje hapo??acha ujinga,shughulisha akili,tumia ushawishi ili unyooshe mambo....
 
Kaka hapo penye nyeusi sana (bold), umetuchanganya mno, Unamaanisha mchumba uliyenaye ulimpata mwaka jana mwishoni, na kabla ya hapo alikuwa na mtu ambaye walichana naye mwaka jana mwezi wa 11 (Maana yake ulikutana naye muda mfupi sana baada ya yeye kuachana na yule mchumba wake!). Wiki mbili zilizopita (umeendika kwa kizungu, 2 weeks ago, Huyo mchumba wako alifumaniwa na mchumba wake wa zamani! Na hapo sasa wazazi wameingilia kati!

Nimesoma sijaelewa, ila kwa kifupi na kwa ushauri wa bure huyu dada ana play arround na akili zenu, nakushauri anza taratibu kabla hajakupatia magonjwa ya kutisha!

nahic mi ndio sijaeleweka, ila kiufupi waliachana november baada ya mvutano wa mda mrefu, december by x-mas nilikua nae, 2 wik ago ndio wazazi wa kiume walienda kumuombea msamaha kijana wao
 
I know what u feel mkuu, it hurt more than watu wanavofikiria ila mustakabali wa mapenzi yenu anayo huyo mpenz wako, jaribu kumuuliza yeye msimamo wake uko kwanani kati yenu.?, pole sana mkuu...
 
thanx mkuu, inauma sana
 
mwana unabwagwa hivi hivi....loh!!!
she has final say hina shoda ya kwenda kwa wazzazi...mwambie how u feel and let her decide.
 
yani ndio naenda kumuona nimesha toka kazini, leo kazi haijaenda kabisa! Duh.........mapenzi haya
 
miezi minne in a relationship!?? i think umefanya haraka sana kupenda na kuji-commit ndo maana unaumia hivyo.

Wahenga waliwahi kusema, "You have to walk carefully in the beginning of love; the running across fields into your lover's arms can only come later when you are sure they won't laugh if you trip."

..i think, you ran too fast into your lover's arms now i guess u have to bear th consequences..let's hope utakapoongea naye atakuwa courageous enough kukuambia what she thinks.
 
yani ndio naenda kumuona nimesha toka kazini, leo kazi haijaenda kabisa! Duh.........mapenzi haya

kazi unayo kaka...najaribu kuimagine ila umepata uzoefu wa hawa viumbe..ukipata mwingine usimpe moyo wako mpe visigino kwa kuwa moyo atakurudishia ulovunjika..visigino hata vikipasuka havina noma si vya kukanyagia..
 
Mwache aolewe wewe unaoneka unampotezea muda na kumchafua chafua
 
Back
Top Bottom