Bado nampenda sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado nampenda sana

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DA HUSTLA, Mar 26, 2012.

 1. DA HUSTLA

  DA HUSTLA JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 428
  Likes Received: 399
  Trophy Points: 80
  Jaman wadau naomba mnisaidie kuhusu hili jambo,nlikua na mwanamke/mpenzi wangu nlikua nampenda sana kupita maelezo.Ikaja ikatokea akaanza kunibadilikia,visirani kila saa tukiwa na miadi haji bila sababu za msingi na wala hapokei simu baadae ukimuuliza anasema alikua tight alishindwa kuja vile vile angepokea simu nisingemuelewa kabisa n.k.Nliamua nipumzike kidogo japo roho iliniuma sana na sikupenda hali ile itokee.Ilipita kma miez miwili bila kuwasiliana nae siku moja nikakutana nae mahali fulan hivi akiwa na rafiki yake ambaye ni mtu wake wangu wa karibu,sikupiga nae sana stori na yeye aliondoka mapema sana akaniacha na rafiki yake,nikapotezea ila wiki iliyofuata akanipigia simu tukawa tunawasiliana mara mojamoja,kwa kuwa nlikua bado nampenda basi ikabidi nirudishe mahusiano ila baada ya muda mfupi tukaanza kuyumba yumba tena.Tulivyokuja kuzinguana tena akanichana akaniambia mi ni mnafiki na hataki kuendelea na mimi tena,me skupenda afikie uamuzi huo mapema but alisema its over roho iliniuma sana mpaka sasa na nampenda sana nashindwa nifanyeje niweze kumsahau kila nikikumbuka baadhi ya mambo moyo unaniuma sana,wadau nisaidien nifanyeje???na ni mwanamke nliyefikiria tuishie kwenye ndoa.
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  anza kujua hasa huo'unafiki' uliomfanyia ni upi...
  hapo ndp pakuanzia....
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Una miaka mingapi?
   
 4. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  i sympathize kijana
  ni jambo la kuleta maaikitimo pale mbapo unabwagwa na umpendaye....pia ni vizuri kukubaliana na hilo liliotokea pamoja na kwamba inauma.....kwa sasa bado utakumbuka mazuri mliyo fanya naye ila with tym ukali wa maumivu utapungua. jaribu kupunguza kumwazia ama kufanya au kuona vitu vitakavyo kufanya umkumbuke....patience is key hapa kaka
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  A point of no Return
   
 6. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mdogo wangu huyu mwanamke hakufai kumuowa kwani humpendi! Inakuwaje mwanamke awe kama kombe la ligi, msimu huu huyu ,msimu ujao bingwa yule. Mwanamke unampenda huna wivu nae hata kidogo? Haiwezekani!
   
 7. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,765
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  soma alama za nyakati . . kuna mambo mengne si lazima uambiwe wapaswa kuona na kuamua . kuna marekebisho na kuna karaha
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Pole, ni kipindi chako cha kuumia.
  Kubaliana nacho tu, ndo ushabwagwa tena.

  Jiweke bize kupunguza muda wa kukaa aido.
  Kama una kazi, kama unasoma, kwa kifupi divert nguvu za mapenzi kwenye kitu kingine.

  Hakuna dawa ya kuumia moyo, ni muda tu.
  Japo tunatofautiana, wengine hupona kwa mwezi, wengine mwaka, wengine miaka.

  Kama ni mwamini, jitolee kazi za huko unakoamini, mradi uwe busy, ukikimbilia mahusiano mengine unaweza umia zaidi na kuumiza mtu mwingine bila sababu.

  Pole, maumivu ya moyo yashinda msiba source banana zoro
   
 9. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  NDO UNAANZA MAPENZI?....pole unahitajika kuumizwa kama mara tano ili ukomae vizur,laa sivyo utakuwa unaumia na kung'ang'ania pasiko ng'ang'anika..........:eek:
   
 10. wahida

  wahida JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 388
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ooh !! so sad ,haya mapenzi yana lelta mtihaan, nakuonea huruma yoyote aliye achwa huwa ana feel the same as y feel ,ngumu kusahau ,ila swali sana kma muislamu omba dua ,ata kama cristian ,, omba dua m,mungu akusahaulishe kama huja mfanyia ubaya iko siku ata kutafuta huyo, ila pia keep bz yr self , n ngumu sana kumsahau mtu uliye mpenda for real pole sana ndio maisha ukiwa mkubwa alwayz utaface challege ..
   
 11. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Anyway piga moyo konde utayashinda majaribu...angalia usijepotezewa muda ndugu yawezekana mwenye matatizo ni wewe jichunguze kwa makini na wala usimlaumu huyo dada. Ila pole sana vumilia.
   
 12. Mchochezi

  Mchochezi JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 6,952
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  hamia airtel
   
 13. m

  mtukwao2 Senior Member

  #13
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Dawa moja acha unafiki sio tabia ya kiume...then mfuate mwambie ulishaacha!!!
   
 14. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what the source of not picking up your phone kama ni mpenz wako?
   
 15. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Kama vile wewe ulivyoniumiza,unazania nimesahau? Mwenzio bado naugulia!
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  uko tayari kwa fenegani ya siku moja?

   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mapenzi bongo!
   
 18. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  tatizo unapenda usipopendwa....
   
 19. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Haya mapenzi ya nursery school.
   
 20. Mangimeli

  Mangimeli JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ni rais mno broo, ondoa mawazo yako juu yake na jitaidi kufikiria juu ya maisha yako ya baadae wanawake wendawazimu sana,mtu anakua na mme au mke na awo watu waliapa mpaka kifo kiwatenganishe lakini kabla ya kifo wanatengana,awo ni mke na mume itakujakuwa gf tu,me binafsi ilinitokea hali kama yako lakini nkapiga moyo konde mbna baadae nlikuja ona kama nlikua nimefungwa na mashetani, kaka kutoka kwangu nia ayo tu.
   
Loading...