@@@ ..."Used" "Spare" PART...@@@

Baba_Enock

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
7,076
2,443
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?
 
Usiembo ukakutana na Used ya Kichina.......................!!!
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?
Mkuu issue ni tatu:

1) udhibiti hafifu na wakusikitisha katika kuingiza bidhaa nchini! Kila kitu kinaingia hata kama ubora wake ni mdogo sana. Hii imepelekea spare part fake na zenye ubora hovyo kuongia

2) tabia yetu waswahili kupenda rahisi,

3) kumbuka tanzania tulikuwa na mashine tools industries, zimekufa kifo kibaya. Viwanda hivi vilikuwa vinatengeneza spares za aina zote kwa gharama nafuu kabisa, hasa spare parts za magari na mitambo ambazo you couldnt get them in the maduka!
 
Wengine tunazungumzia spea za mwili wa binadamu we unatuletea mastori ya maspea ya machuma. Stuka!!
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?

Vipya vingi vya siku hizi ni vya Kichina, Ukinunua hata siku mbili haziishi vimeharibika ... Used ni orijino bwana!
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?

Ukiona hivyo, ujue kinalipa vibaya sana!
 
Kumbe nipo jukwaa la wazee na Tubinti!!

Hee..........mimi huyoooo ngoja nikapambane na Rejao kwanza.!!!!

hapa niwaachie wenyewe wa mupya kwangu, used kwako!!
 
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...!

Ni kwanini lakini?

Kwa mazingira ya Tanzania inaaminika used Spare parts ni genuine kwasababu imefunguliwa kutoka kwenye gari kwa kuibiwa au vinginevyo na kupelekwa kwenye maduka huku waki-assume kimetengenezwa wakati gari ndo inasukwa.
 
Wengine tunazungumzia spea za mwili wa binadamu we unatuletea mastori ya maspea ya machuma. Stuka!!

...lol....'alalaye...'

Enhe, tuendelee zungumzia 'vyuma chakavu'....tena siku hizi vina bei kweli,
hata vile vigumu vyenye kubeba treni vinang'olewa....Recycling bana....shughuli!
 
Back
Top Bottom