Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Haya ni maneno ya Biblia. Naona malalamiko mengi kwenye mapenzi ni ..ooo ananichuna... oooo mme ka mwanamke. Pia na nyie wote mnaopenda kupokea tu sio vizuri jamani. Biblia imekataza. Ni hayo tu...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Ndio ninayo ishi Erotica. Ingekua sio ndoto zangu na strangers, ama kushtulia hapa na pale na wadau wa hapa na pale ningeganda. Sababu ni mrembo na mzuri, nikiwa na maisha mazuri ya hali ya juu...
4 Reactions
153 Replies
12K Views
Vipi nitampata mpenzi wa kweli maana nishatendwa sana
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumbe kuna hii mbinu ya wanawake kuongeza pleasure kwa wanaume wakati wa tendo la ndoa kwa kukausha 'apple'. Soma mwenyewe attachment ujionee mambo!!!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mods, pse muuache hapa hapa MMU, niko siriaz, sitaki kuchitchat Kama kichwa habari kinavyohusika Hivi huu wimbo una maana gani? Ni fasihi imetumika au ndo kama ulivyo? Na naweza udedicate katika...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
salam jf leo naomba ufafanuzi juu ya hili. Ni katika umri upi unafaa mwanaume kua na mpenzi, pia anapaswa awe amejiandaaje? binafsi nina miaka 26, bado sijafikiria hata kua nae na naona poa 2.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa masikitiko makubwa sana napenda kumpa pole mwanaJF mwenzetu Damie kwa kufiwa na baba yake mzazi. Najua upo katika wakati mgumu lakini Mungu akupe ujasiri katika kipindi hiki kigumu. Najua...
7 Reactions
37 Replies
16K Views
wanajf habari za mchana pamoja na mihangaiko ya kila siku! wadau kuna dada mmoja leo asubuhi kaja nyumbani kwangu anasema wametofautiana na mpenzi wake ambae wamekaa nae kwa muda wa miaka miwili...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tatizo langu nahisi linazidi kila nikimpenda mwanamke namkuta amenizidi UMRI mpaka nachoka nimeingia kwenye mahusiano wa kwanza tulikua miaka sawa ila tukashindwana wa pili kanizidi miaka miwili...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Salaamu wanajamvi, Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao...
1 Reactions
95 Replies
9K Views
Mara kadhaa nimekuwa natafakari jinsi ya kuliweka hili.... Ila hapa Nas amenisaidia sana kulieza.. Changamoto katika kulea na kumjenga binti yako ukiwa kama mzazi pekee na Baba! Hii ni kwa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimepokea ombi maalum toka kwa mama chanja wangu mtarajiwa ,anasema kuna mtu kamwomba ushauri,katika hili naye anaomba mchango wenu. Ni hivi: Kuna mdada mmoja (tumwite Cindy), Cindy aliolewa na...
6 Reactions
240 Replies
14K Views
Nipo Dodoma. Nina rafiki yangu (mwanamume) analo jambo linalomsumbua na amenifuata nimpe ushauri. Nimeona si vyema, nichanganye na yenu hapa jamvini. Huyu rafiki yangu ana miaka 32, tunasoma naye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mambo waungwana? Mwenzenu nna ka mtihani,nna shoga yangu nikonae kama ndugu,alipata bwana kwenye FB Mapenzi yaka dumu kwa miezi 5 wakamua kufunga kutaka kufunga ndoa shost wangu ndio Mara ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya...
0 Reactions
78 Replies
12K Views
HAYA KWA WOOOTE WANAOTARAJIA KUOA Hivi jamani, mnazijua gharama anazoingia bwana harusi hadi anapooa? Katika hali ya kawaida kabisa, kama wewe ni mwanaume na unataka kuoa, jiandae kwa mambo...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wana JF Mimi mwenzenu nina mtoto mmoja tu, na huu ulikuwa ni mpango wa mimi na mke wangu kabla hata hatujaoana. Mtoto wetu sasa ni mkubwa ana miaka 14, I am not regreting for that and we are all...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
hivi kina umuhimu gani wa hiyo pati,?kama kuna kitu wanajifunza ni nini na kwani nilazima wafanye kwenye ukumbi na watu wengi?uswahilini utakuta kuna watoto na vitu vinavyo onyeshwa si sahihi.je...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamani mimi ni kijana wa kiume nimeoa miezi mitatu iliyopita, naomben wadau mnisaidie kina jambo linanitatiza. Mimi kwetu ni Dar es Salaam na wazazi wangu wanakaa Dar es Salaam. Lakini mke wangu...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
...hivi, ghafla bin vuu mwenzio anashikwa na dege dege kisha 'anakaukia' kwenye ma-au-nanihii yako...hivi utapiga kelele au 'unakufa' na tai yako shingoni? Dont ask! ...I don't do 'these'...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…