omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,325
- 2,498
Salaamu wanajamvi,
Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao.
Wameenda shule. Wana kazi zenye hadhi kubwa na mara nyingi wakiendesha magari ya kisasa. Lakini nyuma ya pazia la haya yote, wanawake waliosoma wanajihusisha na udanganyifu kwenye mapenzi (mahusiano) zaidi ya wenzao wasio elimika, kulingana na takwimu mpya zilizopatikana.
My take:
Mazingira ya wenzetu hawa yanafanana sana na hapa Tanzania na nashawishika kuamini kuwa huenda hali hapa kwetu ikawa ni zaidi hawa wenzetu, wote tunajua hilo. Sijui ni sababu ya teknolojia au umasikini! Kuna mwenye mawazo zaidi au tofauti?
Source: 'Educated women more promiscuous than men'