Mapenzi fake na SEX fake! Yanachosha kwel kwel...

Erotica

JF-Expert Member
Apr 24, 2012
2,513
1,735
Ndio ninayo ishi Erotica. Ingekua sio ndoto zangu na strangers, ama kushtulia hapa na pale na
wadau wa hapa na pale ningeganda. Sababu ni mrembo na mzuri, nikiwa na maisha mazuri
ya hali ya juu ya watoto wa mujini basi nimezungukwa na marafiki wa mujini nao
wakiwa na maisha mazuri na hali za juu pia.
boyfie wangu ni wa mujini na wa hali ya top, viwanja vyetu ni vile vya watu wa maisha
mazuri na hali ya juu. Katika hicho kimduara cha ambao tunajuana inakuwa
wengi kila mtu ana wake. ukiachika na hio seko basi utapata mwengine ambae atakushusha
hadhi ama basi awenazo kweli kweli ili um upgrade. Boyfie kanicosha
anaboa, story zake pumba tupu, hana jipya! na washikaji zake wote humpongeza kwa point zake nzito
sababu ni mtoto wa kizito. anapesa ya kumlea hadi hata akifa huko tokana na familia aliyotoka.

mie nina pesa zangu nazifanyia kazi kwa jasho langu, familia yetu ina uwezo ila sio kama ya akina boyfie.
nina mipango nimepanga ya maisha yanayohusisha maendeleo kwa jamii, nina mpango wa kuwa
mwanaharakati na mwanamapinduzi. natamani kuachana nae, ila nashindwa, sabb nina adv nyingi napata,
kama free airline tickets popote ambapo ndege zinafika nchini, nabadilishiwa usafiri, sometimes naazima
hata za kwao ili kubadili. vitu navitaka! boyfie simtaki. yani ni full kufekisha.
na yeye nahisi hanitaki ila yuko na mimi kwa sabb anazojua yeye, naogopa hata kuzichokoa.
tukiwa tuna sex, yeye anafake na mimi nafake alafu wote tunapongezana. u wea great baby.
usha wahi ona mwanaume anafake orgarsim? basi nakupa wangu! mie namuongezea tu
napenda macho yako wen u come this way (u know wat I min). Anafuraaaahi anajua sijui. kalagabaho!!

no mwaaaaaah! Sipo kwenye mood. :sleepy:
 
Erotica...............sex Erocious banaa.....bora yako upo wrong site and yet conscious kimtindo.....yaaani half ndondocha jamani...sooo sad!!!!!

Haya amka mamii uanze kutimiza ndoto zako please, maisha si ndege na kubadili magari tu ni zaidi ya hapo though definition ni relative and subjective ya hayo maisha yenyewe......well kama kweli unajua hayo si maisha yako then you are not living at all
 
Erotica nifundishe kufake basi maana mimi natafuta watu real kumbe hakuna ...
please nifundishe kuwa fake niishi kumujinimujini
 
Last edited by a moderator:
nilidhani nimeshakua................. kumbe bado saaaaaaaaaaaaana. haya bwana, ngoja niendelee kukua niyaone
 
ticah, hii ya leo ni kubwa kuliko, ila kwa jinsi baadhi yao wanavyotreat watu vibaya, they deserve this 'fake life' mmh, sijui nikupe pole au nikupongeze!
 
Erotica...............sex Erocious banaa.....bora yako upo wrong site and yet conscious kimtindo.....yaaani half ndondocha jamani...sooo sad!!!!!

Haya amka mamii uanze kutimiza ndoto zako please, maisha si ndege na kubadili magari tu ni zaidi ya hapo though definition ni relative and subjective ya hayo maisha yenyewe......well kama kweli unajua hayo si maisha yako then you are not living at all

of coz nishajuwa am not living. yamenichosha ila siwezi kurudi nyuma.

uongo wa kusema haijalishi watu watasema nini mradi you live the way u want naona ni uzushi tu.

ingekuwa kweli basi kila mtu angekuwa na nguo mbili, anavaa moja nyingine anafua. ugumu uko hapo.
 
ilishanikuta..kushtuka mda umekweenda..lakini t wasn't too late ..inaweza kuwa sio too late kutafuta furaha ya moyo
 
Erotica nifundishe kufake basi maana mimi natafuta watu real kumbe hakuna ...
please nifundishe kuwa fake niishi kumujinimujini

Smile ukijifanya kutafuta kitu real utakufa na bk yako mamie. vitu real vimekuwa adimu

sijuwi wamevibania wapi! hapo suluhu ni usanii, full usanii kwa hao walio feki

na wanataka kutambuliwa eti ni real men. to hell with them.
 
Last edited by a moderator:
ticah, hii ya leo ni kubwa kuliko, ila kwa jinsi baadhi yao wanavyotreat watu vibaya, they deserve this 'fake life' mmh, sijui nikupe pole au nikupongeze!

Cacico this lyf wacha iitwe life. unaweza nipa zote,

c wajua shilingi ina pande mbili na zote zina ubora wake? amua nipe pole ama hongera.
 
I know my dear, ufake inaendelea hata humu wengi wetu ni virgins! LOL

Where is our dear Paxman, nataka nimfanyie trial this weekend!

Wastaarabu na wajuaji ndio wapo hapa mmu na hata mtaani kwetu.

trial na Paxman itakuwa ya kweli. mie nili injoi. hadi sasa nikikumbuka nasisimka. teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Cacico this lyf wacha iitwe life. unaweza nipa zote,

c wajua shilingi ina pande mbili na zote zina ubora wake? amua nipe pole ama hongera.

naomba nikupongeze, at least u hav astory to tell your grand kids, and this faking issue ndio imeniacha hoi, sasa mkifake organism, but u bcome wet or just kauzu?? mmh wonders, very far from ceasing! hebu nipe lectures mie!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom