mdida
JF-Expert Member
- Jul 14, 2011
- 1,607
- 772
wanajf habari za mchana pamoja na mihangaiko ya kila siku! wadau kuna dada mmoja leo asubuhi kaja nyumbani kwangu anasema wametofautiana na mpenzi wake ambae wamekaa nae kwa muda wa miaka miwili. nikamwuuliza kulikoni akaniambia eti huyu mpenzi wake ana tabia ya kumfungia cm pale anahitaji kumpigia. lakini anapomwuliza anasema kwa nn ulifunga cm anamwambia ni network. na hiyo ni mara ya tatu. akawasha moto kuwa huwa jamaa ana mambo yake ndo maana hataki usumbufu hivo anaamua kufunga cm. kwa kweli wadau ninashindwa kuelewa ni yupi alie anasema ukweli coz mwanaume anasema yeye hajafunga cm, bidada anasema hii khali inamkera sana. swali hapa je! inawezekana cm ikawa on lakini unapiga inakwambia mtaja hapatikani kwa sasa?