habarii wakuu wa mji huu, ma greater thinker ngoja nitiririkee moja kwa moja kwenye point...
Mienzi kama miwili iliopita nikiwa kwenye pilika pilika zangu nilikutana na binti kweli ni mrembo na...
Hellow, help me here please! Nimekuwa na changanywa hapa. Wengne nataka mume mweupe, oh nataka mke mwembamba, nataka niolewe na kipanga . . Mara hivi mara vile. Sasa swali ni je una~identified...
Ni miongoni mwa wapangaji jijini dsm, ninachumba kimoja tu kwenye nyumba ya familia, tunaheshimiana sana, na asilimia 100 ya wakazi wa nyumba hii wanaonja, si wanywaji sana, ila binti wa miaka...
Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia...
Habari zenu waja JF.
Naombeni ushauri wenu wa haraka haraka.
Nilikuwa na camera ya mpenzi wangu, of course nilikuwa natumia kupiga picha za harusi ya my sis. Sasa ikatokea ile camera card ina...
Hali zenu wana JF...
Naomba ushauri wenu tafadhali maana niko njia panda.
kuna huyu m-baba, sitamuita kaka maana ni mtu mzima. tulifahamiana miaka kama 7 iliyopita. Alinipenda sana, mpaka sasa...
Habari za saa hizi ndugu wanaharakati wa jf nafikiri bado mnaendelea kukuna vichwa vyenu ili muweze kutukusanyia na kutuletea habari mbalimbali zinazotokea kila kukicha.
Shida yangu ni kwamba ni...
habari zenu wanandoa na wanajf kwa ujumla. imagine kabla ndoa ulikuwa na best friend wa kiume/kike ambaye alikuwa close na wewe (SIO MPENZI) mlikuwa mkisaidiana katika shida na raha ikafika wakati...
Wadau,
Nina shemeji/wifi yenu ambae bado hatujafunga ndoa kutokana na ratiba kumbana kila mmoja wetu.
Mnamo mwezi Miezi ya hivi karibuni kumekua na harusi mbili zinazohusu watu wa ofisini...
Kwa mujibu wa kitabu cha Biblia, ni kuwa Mungu alichukua ubavu wa mwanaume aitwae Adam na kumtengeneza mwanamke aitwae Eva. Hiyo ni dhana tosha kwa mtu wa kawaida kuamini kuwa mwanamke aliumbwa...
Mhhh unamkuta mtu wako na pkt ya zana 3pc ila 1 imemis unamuuliza hii kitu kwenye gari inafanya nini?anajiumauma...unaanza kugomba kuwa majuzi tuu umeniambia kuwa hutodanganya tena utakuwa baba...
Ni zaidi ya miezi minne tupo kwenye mahusiano. Kuhusu kunipenda sina mashaka nae kwa hilo.
Cha ajabu kila nikimchombeza huishia kununa, nimeshatoka jasho zaidi ya mara tano kumlazimisha ku-do...
Mimi ni Mswahili mzaliwa wa Bongo. Naomba kujitokeza kwa mara ya kwanza katika Forum yetu adhimu kutafuta rafiki wa kawaida. Sibagui dini wala kabila.
Sifa za rafiki anayetakiwa.
Awe mpenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.