Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani hii ni kwa wanawake tu!. . . . . !Imetokea kweli na huyu hajaamua la kufanya!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 25, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Upo kwenye ndoa na mumeo mna ndoa yenye furaha tele na mmejaaliwa mafanikio yote!Ya kifedha na kiuhusiano!Na pia mmejaaliwa mtoto mmoja tu wa kike na anafanana sana na wewe mama yake!Bahati mbaya baada ya kujifungua mtoto huyo ukapata matatizo ya uzazazi yaliyopelekea ukaondolewa mfuko wa uzazi.Huwezi kuzaa tena. . .Tatizo linakuja mwanao anaanza kuugua sana unampeleka hosptl haponi,hali inakua mbaya zaidi na mtoto anaanza kuwa na mabakamabaka mwili mzima kama nyoka,mnapeleka kuombewa inashindikana,mnaamua kumpeleka hosptl za nje ya nchi;Nairobi,South Africa mpaka India lakini hali inakua mbaya zaidi.Mumeo ni mtu wa dini na ameokoka hataki kusikia mambo ya waganga wa kienyeji.Unaamua wewe mwenye kumpeleka mwanao kwa mganga,mganga anamkagua mwanao na anakwambia anaweza kumtibu lakini kutokana na ugonjwa wa mwanao kwa sababu ni wa kike dawa ile itamtibu mwanao kwa wewe na mwanao kuitumia kwa njia tofauti.Mwanao utamwogesha na dawa ile pamoja na kumnywesha.Wewe utaioga dawa ile lakini pia inatakiwa mumeo aipake dawa ile kwenye uume kisha akuingilie kinyume na maumbile halafu baada ya siku 3 unywe dawa ile!Ungefanyaje?Kuna mwanamke mwenzio anachangamoto hii,jaribu kumsaidia!
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  May 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  hadithi njoo....
   
 3. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #3
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  kha jamani hili ni jaribu tena kubwa hebu ntafakari zaid ndipo nitoe comments. ila nikutahadharishe tu kuwa comments utakazo pata hapa haziwez kufikia hali halis wengi tutachangia kwa utash kwa kua hatuko in that situation.
   
 4. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #4
  May 25, 2012
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  siwezi kukubaliana na mganga kwa sababu hana guarantee kama kweli iyo dawa itamponya mwanangu.I will keep praying until something happens,good or bad Mungu atakuwa na makusudi nalo.
   
 5. m

  mbalapala Member

  #5
  May 25, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Duu! Hiyo tena ni noma.Uchungu wa dawa unazidi hata ugonjwa wenyewe.
   
 6. Bado Kidogo 2015

  Bado Kidogo 2015 JF-Expert Member

  #6
  May 25, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 207
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hakuna dawa hapo labda kama unaleta stori za kishigongo!!! Kwanza ushirikina ni haramu sana, halafu tena umuingilie kinyume na maumbile mkeo?

  Yaani stori imenichefua sana mpaka nashindwa kuandika vizuri lakini ukweli hakuna ouvu kama kumuingilia kinyume mkeo au hata mwanaume mwenzako!!!!

  Kama unajua kuna kufa basi usijaribu kabisa ujinga huo na huyo mwanamke aende akampime mwanae ngoma labda kaathirika halafu anahangaika bure.
   
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  May 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hapa nimepata picha kwamba wanawake ndio hupenda kukimbilia kwa waganga wanapopata changamoto...........

  Samahani kumbe inawahusu KE tu..................LOL
   
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  Rose1980 mbona unasema ni hadithi? dont run into a conclusive remark at first sight. Nafikir hebu tumuone anakujaje na majibu yake manake mm nawajua watu ambao in real wanapita kwenye changamoto mbaya sana ambazo unaweza kufikir siyo maisha at all. mfano unayajua maisha ya sajuki in deep?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #9
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Haya ndo aliyosema gfsonwin,ni kazi sana kupata ushauri wakati mwingine!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #10
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Kumbuka kwamba huo ni ugonjwa huwejua!
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  May 25, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Bado kidogo 2015,una mtoto?Ulishawahi kupata maradhi ambayo hayatibiki hosptl?
   
 12. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #12
  May 25, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,120
  Likes Received: 6,600
  Trophy Points: 280
  Yaliyomshinda Mungu, mganga atayaweza kweli???????
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  May 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Utamu hakuna kwani kaweka mambo ambayo ni laana kuyatenda na hata siku moja hakuna dawa kama hiyo!?
   
 14. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #14
  May 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  ebu nambie ayo ya sajuk wala syajui mwaya.....
   
 15. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #15
  May 25, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,860
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  uongo njoo!
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  May 25, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,894
  Trophy Points: 280
  Jamani kama ni true situation basi i will do as follows.
  Mungu anaweza akakupa mtoto mmoja na akamruhusu shetani amuue. to me uwezo wa kuzaa au la its not a big deal manake ndivyo maisha yalivyonichagulia.

  cha kufanya ningemuomba Mungu mapenzi yake tu yatimizwe. Sihitaji wala sitaruhusu nafsi yangu iendelee kuumia kwa kile nisichokitaka. Kama Mungu aliyemuumba hawez kumnusuru basi afe tu. tena pakifika mahali anaumia kwa ugonjwa ningeomba sala ili mungu ampumzishe. najua itauma lkn itafikia mwisho. bwana namkumbuka bwana mmoja aliyeitwa Rimoy miaka ile ya 90's alikuwa na mke na watoto 6 walikufa mke na wanae wote kwenye ajali wakitokea Arusha so kwake yeye maisha ni nini? tena hata hakuona wakizikwa aliambulia kuona makaburi tu baada ya kupona na kurudi home akitokea hosp.
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  May 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  umeona ehh.....:violin:
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  May 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hakuna situation kama hiyo hata siku moja eti kinyume na maumbile alafu akapone mtu mwingine na kama kuna waganga kama hawa ni mashetani na walaaniwe!
   
 19. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #19
  May 25, 2012
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,741
  Likes Received: 3,178
  Trophy Points: 280
  Hhahahah kweli hadithi njoo utamu kolea.....Hapo zamani za kale......waganga wa kienyeji ni waongo sana kuingiliana kinyume cha maumbile ndio dawa gani hiyo???
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  May 25, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0

  kampake dawa shem afu.....:lock1:
   
Loading...