Kwa ma Bro wenye mabinti (watoto wao wa kike)... Tulonge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa ma Bro wenye mabinti (watoto wao wa kike)... Tulonge!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by jouneGwalu, May 29, 2012.

 1. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mara kadhaa nimekuwa natafakari jinsi ya kuliweka hili....

  Ila hapa Nas amenisaidia sana kulieza..

  Changamoto katika kulea na kumjenga binti yako ukiwa kama mzazi pekee na Baba!

  Hii ni kwa Brothers jamani....

  Kula hii video na lyrics za hii track then tuzoze!
  [Intro]
  Check it out... I call it
  Yeah
  Yeah
  Yeah-Yea

  Shit for niggas with daughters, I call this
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Shit for niggas with daughters


  [Verse 1]
  I saw my daughter send a letter to some boy her age
  Who locked up, first I regretted it then caught my rage, like
  How could I not protect her from this awful phase

  Never tried to hide who I was, she was taught and raised like
  A princess, but while I'm on stage I can't leave her defenseless

  Plus she's seen me switching women, pops was on some pimp shit
  She heard stories of her daddy thuggin'

  So if her husband is a gangster can't be mad, I'll love him
  Never, for her I want better, homie in jail - dead that
  Wait till he come home, you can see where his head's at

  Niggas got game, they be tryna live
  He seen your mama crib, plus I'm sure he know who your father is

  Although you real, plus a honest kid
  Don't think I'm slow, I know you probably had that chronic lit
  You 17, I got a problem with it
  She looked at me like I'm not the cleanest father figure but she rocking with it


  [Hook]
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Not sayin' that our sons are less important
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Shit for niggas with daughters, I call this
  Not sayin' that our sons are less important


  [Verse 2]
  This morning I got a call, nearly split my wig
  This social network said "Nas go and get ya kid"
  She's on Twitter, I know she ain't gon post no pic
  Of herself underdressed, no inappropriate shit, right

  Her mother cried when she answered
  Said she don't know what got inside this child's mind,
  she planted
  A box of condoms on her dresser
  then she Instagrammed it

  At this point I realized I ain't the strictest parent
  I'm too loose, I'm too cool with her
  Shoulda drove on time to school with her

  I thought I dropped enough jewels on her
  Took her from private school, so she can get a balance
  To public school, they too nurture teen talents

  They grow fast, one day she's ya little princess
  Next day she talking boy business, what is this

  They say the coolest playas and foulest heart breakers in the world
  God gets us back, he makes us have precious little girls


  [Hook]

  [Verse 3]
  And I ain't tryna mess ya thing up
  But I just wanna see you dream up

  I finally understand
  It ain't easy to raise a girl as a single man
  Nah, the way mothers feel for they sons, how fathers feel for they daughters

  When he date, he straight, chip off his own papa
  When she date, we wait behind the door with the sawed off
  Cause we think no one is good enough for our daughters

  Love
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
 3. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Unajua mkuu hii mambo ya Mkuki kwa nguruwe ndio inayotokea kwetu, tumeumbwa kuumba na kujenga hvyo mara zote hatuwaamini watu wengine wanaotaka kuwa karibu na tulivyoviumba.
  Na pia ile fact kuwa binti kwa baba ni sawa kabisa na son kwa mama.
  Malaika wangu kesho kutwa anatimiza miaka 4, kawa mjanja na maneno yote anaongea!
  Nkimuangalia afu huwa najiangalia nlvyokuwa na Mama yake afu huwa najiuliza kama ntamfanya nini huyo kijana!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  jG ulikuwa mbaya kwa mama yake?

  Nwy. . .ushauri wangu ni umtafutie mama mwingine maana itafika sehemu wewe na yeye hamtoelewana lugha, ataona humuelewi na unamuonea. Kuna mambo hutoweza kumfunza ama kumshauri hivyo ni vizuri ukatafuta mtu wa kukusaidia upande wa pili.

  Sasa yaweza kuwa rahisi maana she doesn't need much. Mapenzi yako, chakula na malazi vinamtosha, ila atakapokuwa atataka/hitaji zaidi na zaidi ya vitu ambavyo wewe binafsi huwezi kumpa. Jiandae mapema!!!
   
 5. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hamna, sikumfanyia vibaya wala....

  Ulinganishaji wa matukio, kwamba kuletewa mimba na binti yako wakati bado umeandaa mikakati kibao juu yake!

  Kuna sikumoja kule kijijini.com (mwanakijiji) kulikuwa na mjadala kuwa je utamkubalia binti aje na boyfriend wake hom? Kwanzia umri gani?
  Wakati mwingine nadhani inabidi kuwa Mama zaidi hahahahahaha inachekesha
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  jouneGwalu haya mambo ni magumu sana
  Ni kumuomba sana Mwenyezi Mungu atangulie katika kila ufanyalo
  Maana hizi tweeter na sijui facebook na visimu vyetu vya mchina ni balaa tupu
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  Ndo hivyo. . .
  Mama ambae ana ukaribu nae sana anaweza hata akamwambia nna mpenzi, anataka hivi na vile kwahiyo kama mzazi unakua na pakuanzia kushauri/kufundisha/kuelewesha and so so. Ila kama baba anaweza hata akapata siku zake mara ya kwanza asijue namna ya kukwambia, usimuweke kwenye mazingira magumu hivyo.

  Mtafutie namna. Itasaidia hata kwenye maswala ya mapenzi/wapenzi.
   
 8. m

  mkizungo JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mfanye rafiki,,,,
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata mkiwa marafiki bado baba pekee hawezi cover all the basics. Unless unataka kuniambia hata namna ya kuweka pedi , namna ya kujiswafi na mengine ya aina hiyo atamfundisha yeye akawa comfortable binti nae akaona kweli mzee wangu ni wa kipekee. Wakati wenzie wanahadithia mama zao walivyowafunza yeye aongelee baba, achekwe mpaka akose hamu ya kwenda shule.
   
 10. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Hii kali.
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We Bishanga. . . kwamba inashangaza ama?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  yaani hapo ndio balaa kabisa, utaruka koote hapo mwisho!!

  Halafu mbaya zaidi hivi vitu vishakuwa kama ni sehemu ya maisha....

  Na kuna washkaji hao, akipata namba ya simu tu ya mtoto hatoki lo
   
 13. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Nakubaliana na wewe kwakweli....

  Ila suala la Mama wa kambo kwangu halitokuwepo....

  Mke nitakaye muoa atamuita "aunt" tu basi itatosha.....

  Hawa masista duu tunaokutana nao huku ni waigizaji maarufu ukiingia mkenge tu umemkaanga mwanao!!
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Wanaitwa generation "c" (C = connected) maana kuna tweeter, facebook, e mails na bado. Yaani kizazi hiki muda wote wako kwenye facebook, wanachofanya akijulikana wanajua wenyewe.
  Nina waona watoto wa kiume wa dada yangu muda wote macho kwenye simu na earphones mpaka nliwahi kumwambia mmoja ataua masikio kwani nshawahi sikia wanaofanya kazi call centers wanaharibika masikio baada ya muda sasa na hii miziki kutwa sikioni tutegemee viziwi soon.

   
 15. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Hapa mkuu umeongea point kubwa sana.....

  Nakubaliana na wewe
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aunt itafaa tu iwapo huna mpango wa kuwa na mtoto mwingine na huyo "AUNT". Maana utakachofanya ni kwamba utatengeneza tofauti mapema sana kati ya mtoto wako huyo na huyo mwingine. Yani wote wanakuita baba, ila mama sio mama kwa wote. Fikiria sana hilo, hamna ambae huambiwa amwite mama wa kambo. . .ni kiasi tu cha kutengeneza ukaribu na kuacha mambo yaje naturally maana mtoto mwenyewe ni mdogo.

  Alafu kwani mwigizaji akiitwa "aunt" ndio itasaidia?
   
 17. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145

  Jamani nyumba kubwa za masiku??

  Yaani hii gen -c ni balaa...

  Ninajamaa yangu saiv ye kazi yake ni kuhaingaika na hivi vibinti vya mitandaoni na anavipata balaa....

  Kila mkikutana weekend ye stori za ohh kwenye group ile nimekutana na kitoto hichi njoo nikuonyeshe profile yake hapa!!

  Yaani basi dah nasema aisee na hizi mishe za maisha unatoka asubuhi kurudi usiku kalala.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Babu Bishanga....
  Pia we ni big Broo.....
  Leta mauzoefu hapa acha kukwepa majukumu!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,279
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Nakwambia wazazi wa leo tuna kazi. Hata useme utamfanya mwanao rafiki awe wa kike au wa kiume jua fika itafika kipindi atakwambia daddy you are too oldfashioned. Ataona unamwekea kiwingu. watoto wakianza ku mature hawataki kabisa kufatwa fatwa. Kazi kweli kweli.


   
 20. jouneGwalu

  jouneGwalu JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,680
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  No, nilichomaanisha hapo kwenye bold ni kuwa sina mpango wa kuoa fasta hivyo!!

  Yah ila unanipa maneno naona Malkia
   
Loading...