Vip nitampata mpenzi wa kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vip nitampata mpenzi wa kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KIGAN, May 29, 2012.

 1. K

  KIGAN New Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: May 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vipi nitampata mpenzi wa kweli maana nishatendwa sana
   
 2. kadoda11

  kadoda11 JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 16,182
  Likes Received: 8,206
  Trophy Points: 280
  hutapata.lol
   
 3. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Ni swali gumu';
  Jibu la kukufariji ni kuwa 'ndio vumilia utampata'

  Jibu la kiuhalisia ni
  Hakuna mtu perfect, na hata ukimpata unayempenda naye anakupenda bado kutofautiana kutakuwepo tu, kwani the devil is at work all the time!
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,111
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  karibu jukwaani japo ungetumia ile ID nyingine ingekuwa poa sana.....

  :focus:........kwani ni nini chanzo cha kutendwa........?
   
 5. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuwa mkweli,utapata mkweli.
   
 6. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  jamani hata hodi hupigi
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  nilifikiri kutendwa kwako kunakupa uzoefu wa kupata na kujenga mahusiano bora kumbe somo halijaeleweka..
   
 8. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Endelea kutia mkono kizani huku ukijuwa kuwa mapenzi ya sasa ni bahati nasibu.
   
 9. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  muonekano wako chini ya kitovu pliiiiiise!
   
 10. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  wapenzi wa kweli wameisha..saivi ni mapenzi ya kudanganyana na kuambukizana magonjwa
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Chukua likizo ya mapenzi kwanza, utakuja na kasi mpya.
   
 12. chriss brown

  chriss brown JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 292
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe mkweli?:focus:.
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Kwa kufunga na kuomba kwa imani..
   
 14. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Subiri kutoka kwa Mungu ila ukidumu katika kusali na KUAbudu.
   
 15. KML

  KML JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  karibu chama la bachelor ukinipenda twamalizana leo leo tu, siku izi kwa kudanganyana mvulana msichana ishakua poa poa tu, hakunaga mapenzi... wewe ata nyimbo huckili nini???
   
 16. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ishi kimujini mujini tu siku hizi kumpata mkweli ni ndoto!
   
Loading...