umri gani mwanaume anapaswa kua na mpenzi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

umri gani mwanaume anapaswa kua na mpenzi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by komredi ngosha, May 29, 2012.

 1. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  salam jf
  leo naomba ufafanuzi juu ya hili. Ni katika umri upi unafaa mwanaume kua na mpenzi, pia anapaswa awe amejiandaaje?

  binafsi nina miaka 26, bado sijafikiria hata kua nae na naona poa 2.
   
 2. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mwanaume unatakiwa ukisha fika miaka 20 uwe tayari kuoa na ukichelewa sana basi una miaka 25.
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kama unaona poa endelea hivyo hivyo. Ukifikisha 30, uanataka kuoa uombe mtu awe anakutongozea.
   
 4. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ngoja nimalize chuo mwaka huu, 2tacheki mbele ya safari.
   
 5. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  jitazame vizuri kaka.... unavyojisikia sio kawaida!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Shaurilo!!!
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  miaka 55
   
 8. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Nafikiri kuna tatizo somewhere
  26 years na still unajisifia kuwa single
  Au ndugu yetu tuwe na wasi wasi
   
 9. k

  komredi ngosha JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 381
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  kwa imani yangu ya dini, niko sawa.
   
 10. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  unasema??? isijekuwa ana undugu na kina cameroon eeh??
   
 11. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  hehehehe mbavu zangu, badili tabia u have made my evening! ebo!
   
 12. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu kama unaamini ktk imani yako ya dini, siye watuulizia nini? si ufuate misingi ya imani yako inavyoelekeza eboo!
   
 13. biggirl

  biggirl Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  funga ndoa mwaya wote wanaokupa angalizo ni wazinzi wazoefu wapotezee amini unachokiamini kwani Yesu pamoja na miaka yake 34+- mbona hakufanya zinaa ?na mbona mpaka leo vidume vinakiri hakuna mwanaume kama yeye?dont fall just stand where you are...ila nakuombea uje upate mke mwema asikuumize moyo wako bali akupe starehe....my congrats to you
   
 14. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Some people wa Jf hua hawaeleweki..hua naona vijana waliopo kwenye 20s' wakiomba ushauri kuhusu mapenzi mnawatoa mbio mnawaambia wasome umri bado..sasa huyu mbona mnamuona abnormal??
   
 15. biggirl

  biggirl Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Purple umeona eeheee ...vigeu-geu hawa hawana lolote
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kuwa na mpenzi haina maana mngonoke.

  Kwani huyo mke atampata na kumfahamu siku hiyo hiyo ya harusi?
   
 17. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  nimeona my dear,some JF members are unpredictable!leo wanasema hivi kesho vile biggirl
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  26 na huna hamu ya kua na mpenzi...we utakua ni mtu wa puli sana...maana watu wa namna hiyo hawapendagi mademu
   
 19. biggirl

  biggirl Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
   
Loading...