Nimalizapo weekend labda niseme hivi! Unaifahamu familia uliyooa/olewa au unayotaraji? Mara nyingi tumesahau jambo 1. Kila familia ina roho (asomae na afahamu) na tabia zake! Wengne...
From Yahoofriends
MAMA'S BIBLE
Four brothers left home for college, and they became successful doctors and lawyers. One evening, they chatted after having dinner together. They discussed the...
Watu wengi husema kuwa wanaume wengi hutamani wanawake kwa vile tu walivyo...So mahusiano mengi yanakuwa na wanaume ambao hawajielewi wanadhani wanapenda kumbe wanatamani tu! Na akishaacha...
Jamii nzingi za Kiafrika zimekua na kawaida ya kumpa heshima ya peke mwanamke au mwanaume alieoa au kuolewa,imefikia hata baadhi ya vyeo serikalini mtu anapewa kama ameoa/olewa na wengine kuambiwa...
Hii ni siku moja ambayo naamini kwa wale ambao wamekwishapitia siku hii wanaweza kutupa uzoefu wao kidogo wa namna inavyokuwa. Kwa mfano, siku hizi ndoa nyingi zinafanyika wakati binti ni mjamzito...
Inapotokea kutofautiana, ni vyema mkayamaliza kwa amani na maisha yaendelee kama kawaida......
Tunatakiwa kujua kwamba lengo la ndoa siyo kuepuka kukorofishana , hapana . Ukweli ni kwamba...
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao...
All my life nimekua very decent and sijawahi kucheat au kubadilisha couples kama nguo. Huko nyuma kuna rafiki mmoja wa kike nilimuangukia totally hadi hata pua ikagusa ardhi. For four years...
Someni yaliyomsibu huyu dada....
"Mimi ni dada mwenye miaka 28,nimeolewa na nina mtoto mmoja,tunakaa nyumba ya kupanga na husband+mdogo wake wa kiume mwenye miaka 23.
Kuna siku niligundua kuwa...
Happy father's day to all fathers in Jf and the whole world. Je, wanaokuita baba ni kweli wote wanao au wengine changa la macho? Kwani ndoa na mahusiano ya siku hizi vimeo kweli kweli. Enjoy your day.
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
Umri wangu kati ya miaka 21-25,kama kichwa hapo juu kinavyoeleza.Awe na umri kat ya miaka 18-20.sifa tabia nzur mengneyo hayana nafas kwngu ila tabia 2.
Kuna principle moja ya saikolojia inasema kwamba kadri unavyoikaribia hatari ndivyo uoga unavyozidi kuongezeka. Sasa unakuta mtu anaogopa kuingia kwenye ndoa pengine anaogopa majukumu, hamfeel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.