Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bazazi kwa muda (4 moons) amekuwa akimsarandia Binti fulani. Juzi kaja na kioja! huku akilia na kuomba msaada huku akidai "HATA WEWE UMENICHUKIA"? Kisa! ana mimba ya 2 moon na aliyemjaza...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Haya haya wanajamii. Natumaini mmeliona/sikia tangazo jipya la TACAIDS juu ya network ya wapenzi(mtungo), ambapo mimi nakubali kabisa ndivyo ilivyo! Je huu si wakati wa kujitoa kwenye hizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jambo wana JF. Juzi nikiwa Arusha kwenye Trade Fair nilifanikiwa kukutana na mpenzi wangu wa zamani, takriban 9 years a go hatujawahi kuonana, nikiwa na shop around, nilishangaa mtu ananirikia...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
The guy has stoped to be a man kwa kweli! Though Tumeachana muda mrefu na kila mtu akawa na mahusiano mapya ananiharass! Nilipata mtu mwenye pato dogo kuliko la ex wangu ni fundi cherehani ana...
1 Reactions
73 Replies
7K Views
Kwa wale wote wnaohusika na aina hii ya mapenzi kuthibitisha ni mbaya fanya hivi,chukua kisu kichomeke sehemu yenye udongo uliotifuka kafanye hicho kitendo mwache mtu akakiangalie au kama ni nje...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf kuna kaka yangu ana miaka 31 ana kazi nzuri inayomtosha kuanzisha family pia kuna dada yetu mkubwa ana miaka 33 ambaye hajabahatika kupata mume wala hana mtoto kwa kweli amekua na mawazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hilo neno linapotamkwa linajulikana kabisa linahusu nini,lakini wengi huhisi inamhusu zaidi mwanaume.Lakini kuna wanawake nao wana garden bana.Kuna mmoja nilimfuma akifanya mazoezi uwanjani,duh...
0 Reactions
47 Replies
13K Views
kina dada warembo!!kazi kwenu,mmnetupiwa lawama!!mmezidi urembo!
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Jana nikiwa ktk pitapita zangu nililazimika kuingia ktk mgahawa fulani ili nisumbiri jamaa yangu, ambapo nilikaa meza jirani na vijana waliokuwa wakijadiliana vitu mbalimbali, lakini ktk mada...
0 Reactions
66 Replies
5K Views
hAYA maneno kwenye kanga hii Nani wa KULAUMIWA....
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Iam a simple guy,nahitaji marafiki wa kike kwaajili ya kuchat.
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Nina miaka 33, elimu yangu ni chuo, mkristo na nimeajiriwa. Natafuta binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 31, awe mkristo mwenye elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, Leo yamenikuta.My IreneRose,Nilishwahi kupost hii thread kumuhusu yeye. https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/252254-she-makes-me-cry.html#post3720071 Nampenda sana huyu...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Mwanamke hachungwi bana anajiongoza mwenyewe! Utaweza kumchunga mtu anaeweza kutumia dakika tano kumaliza kila kitu? Unapoteza nguvu na maarifa tele kumfikiria namna ya kumdhibiti mtu na akili...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Wapendwa, hamjambo? Nimewamiss sana aisee. Nimejikuta nawaza na kujicheka, hii mikingamo, migongano ya misemo ya mapenzi............................Eti 1. If you love someone, let her/him go (if...
1 Reactions
33 Replies
50K Views
Wanabodi. Mkoa wa Dar es Salaam umetajwa kuwa unaongoza kwa vitendo kuwa na vitendo vingi vya wanawake kuwapiga waume zao. Hayo yamebainishwa na Utafiti uliyofanywa na Kituo cha Haki za...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nataka mtu mweupe,elim ya chuo,mlefu kiasi ft5.6 mwislam.....
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Iam a young woman employed as HRO in one of government institutions. Im looking for a decent man aged 31 to 36 whom I can give my love forever. Interested? PM for more information.
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Natafuta mume wa umri tajwa hapo juu,mwanaume mwenye muonekano mzuri,mrefu asiye,ambaye hatumii kilevi chochote,mkristo,anayejiamini,hata kama utakuwa na watoto usijali tutashirikiana kulea.Mimi...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Ninatafuta mwanaume wa kuishi nae awe na miaka 35-45. Awe mrefu angalau fut 5"5, asiwe na kitambi, awe na elimu kuanzia form 6, awe na upeo wa kuchambua mambo mbalimbali ya kijamii (anaeweza...
2 Reactions
36 Replies
15K Views
Back
Top Bottom