Chanzo cha watoto kuchukia baba zao

JosephElly

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,432
1,034
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
 
nini motive ya huo upandikizaji wa chuki? in other words, wanapandikiza chuki ili iweje?
 
chanzo ni mama zao wenyewe tu. pia na watoto wenye mawazo yakushikiwa ndiyo tabu.
 
mabadiliko ya kizazi, na influence ya mama ni chanzo kikubwa sana
 
pia nawakina baba ukizaa na binti basi nivema upeleke maitaji, kwa mtoto.
 
pia elimu pande zote ni mhimu sana kujuwa kila mtu wajibu wake, nadhani itakuwa poa, kupungiza aya matatizo.
 
watoto nao wanaona yanayofanyika majumbani mwao,sio lazima,wapandikizwe maneno kutoka kwa mama zao.mfano upo kwangu tu,nilikuwa nayaona wazi wazi,haikuwa na haja ya kuambiwa na mama.ila simchukii baba yangu,ila ukaribu haupo
 
sawa.....sasa umechukuwa atuwa gani.
 
I guess somethngs happen 4a reason. Mtu mmoja alniambia, If U do thngs right- U wil always be out of harms way
Kwa kweli kwa mimi ambaye nimekua nikionja true parent love from both of them ni ngumu mtu kunilisha sumu aganist any of them
 
watoto nao wanaona yanayofanyika majumbani mwao,sio lazima,wapandikizwe maneno kutoka kwa mama zao.

yeah, kwa mfano baba akitoka kwenye ulabu, ni ngumi na matusi kwa mama mwanzo mwisho; hapo unategemea watoto wa-react vipi?
 
unajua si marazote wakinababa wanakuwa wakorofi. Ila huwa wanasimama katika misingi ya kujenga familia na kuwa wakali pale mtoto anapotenda kosa. Hii tayari hujenga hali ya kuogopwa. Ila mama anapoongezea neno. Basi mtoto huwa kama amewekwa catalyst
 
Wanavuna walivyopanda. baba yeyote mwenye mapenzi na muda na watoto wake; na asiyeonyesha unyanyasaji kwa mama yao watoto watampenda tu; unless wawe machizi.

Mama ana spend muda mwingi na watoto hivyo ana create bond ambayo wababa wengi ni ngumu kuifikia; sasa ukichanganya na tabia ya kunyanyasa mke; hapo hata u spend kiasi gani kwa wanao huta win penzi lao; inakuwa kama unafanya kutimiza wajibu wako tu. Ushaona mtoto wa tajiri anavyoongea na baba yake pale ambapo mtoto hasikii ana mapenzi kwa baba "dad I need money for xxxx" yani ni lazima. Na hakuna cha asante.

Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.
 
Watoto weng wamekuwa wakiwachukia baba zao na kuwaona hawafai lakini ukwel ni kwamba wamama weng wamekuwa wakipandkiza chuki na kujenga ukuta kat ya baba na watoto.

Huu utafiti uliufanyia wapi na lini?, usilete uzi wa hisia hapa! Watoto wanampenda baba kwa upendo unaostahili, na hivyo hivyo kwa mama. Sema labda wanaweza kuwa karibu na mama zaidi kuliko baba kwenye familia ambazo mama anapika lakini zile ambazo anapika dada, watoto wanawaona wazazi wote sawa tu!
 
Ndio maana nimeuliza ni watoto gani hasa tunaongea hapa? Maybe wale walio zaliwa nje ya ndoa na kukutanishwa na baba baada ya kupata biased picha toka kwa mama?
 
Mimi ni mzazi tena baba wa grown ups,deep inside i know my kids will die for me.
 
Back
Top Bottom