Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Hongera,
kwa hiyo huku Kigoma ndo tutauziwa 18, na dar 14?
Uwiiii hiyo cover photo umeitoa wapi inamfanana nanihii

Nani tenaaa; mnataka kunitafutia ugomvi sasa...
MOD hivi haya matangazo hawa watu wanayalipia.
MOD hivi haya matangazo hawa watu wanayalipia.
Hongera,
kwa hiyo huku Kigoma ndo tutauziwa 18, na dar 14?
MOD hivi haya matangazo hawa watu wanayalipia.
Yaliyosemwa kwenye kitabu siyajui...weye lazima utakuwa majeruhi wa hayo yasemwayo kitabuni!! hadi MMU unakaba?! :A S shade: