Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ukijua mwanaume anaekutongoza na amekuambia atakuoa,halafu pia ni bikra wa kiume,yaani hajawahi kugusa "box manyoya",je utakubali au utamuona kama mshamba na asiejua lolote?Jamani nataka...
1 Reactions
147 Replies
10K Views
Kitabu kitakuja na cover price ya 18,000; mojawapo ya maduka makubwa nchini ambayo tumeomba tuweze kuuza wao wanataka 40% ya cover price! hii ni sawa na 7200Ths. Angalia: Gharama ya kuchapa...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Nina watoto 2 wa kiume na nilishapeleka request kwa Sir God anipe mtoto wa kike lakini kwa haya niliyoona leo, nawaza kuwithdral request yangu! Imekaa hivi: Jirani yangu ana binti (ni...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Imepita takribani miezi mitatu huku tukichat kwa sms na kupigiana simu mara kwa mara tangu tufahamiane hatimaye kubadilishana namba za simu, amekuja Tanzania kama mfanyakazi(engineer) na yupo...
0 Reactions
85 Replies
7K Views
Habar wana jf,mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27, ni mkristo,na ninasoma chuo kikuu cha UDSM,mwaka wq mwisho,hivo ninatafuta msichana mwenye umri kuanzia miaka 20-26, awe mkristo,mtii,na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
.
2 Reactions
30 Replies
4K Views
mimi ni kijana mtanzania mwenye umri wa miaka 30,natafuta girl friend mwenye sifa zifuatazo: Umri asizidi miaka 40, Dini yeyote Kabila lolote Awe mweusi na kama ni weupe sharti uwe wa asili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wanajamvi, namshukuru Mungu nimeamka salama. Jana baada ya shughuli za siku nzima nilirudi nyumbani kwangu, na muda wa kulala ulipofika nikavaa nguo zangu za kulalia nikalala...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
kwanin wanawake wa cku hizi si wakweli kwa wapenzi wao:majani7:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele Leo ingekuwa mara yangu ya kwanza ku date nae lkn amekuja anayumbaa yumba watu wamenishanga kweli nimepata aibu ya mwaka .kifupi huyu binti nilikuwa namuona mstaarabu sana leo...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
  • Poll Poll
natafuta marafiki
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wanaume wengi wa sikuhizi hasa wababa.akiwa anataratibu za kutaka kukutongoza ukikutananae njian anakusalimia kwa mkono afu anauvutia mkono wako kwenye nyet zake..ndo nin sasa?
1 Reactions
88 Replies
8K Views
habr za jumapili wanajamvi, shost angu kakutana na mbaba anayemzidi 21 years. huyo mbaba alioa mke wa kwanza akafa,then akaoa mke wa pili pia akafa but co kwa hiv. huyo mbaba kasema yukn tayar...
3 Reactions
101 Replies
8K Views
nahitaj marafiki wa kike na wa kiume kuchat nao kwa sms my number 0773452803 nipo zenj
0 Reactions
0 Replies
1K Views
awe anasoma kidato cha tatu - cha tano. No yangu ya simu nitakupa kwa mawasiliano zaidi usijali.
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Nimalizapo weekend labda niseme hivi! Unaifahamu familia uliyooa/olewa au unayotaraji? Mara nyingi tumesahau jambo 1. Kila familia ina roho (asomae na afahamu) na tabia zake! Wengne...
11 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari zenu humu ndani, nimewamiss na ninawapenda sanaaaa!
2 Reactions
5 Replies
1K Views
From Yahoofriends MAMA'S BIBLE Four brothers left home for college, and they became successful doctors and lawyers. One evening, they chatted after having dinner together. They discussed the...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wengi husema kuwa wanaume wengi hutamani wanawake kwa vile tu walivyo...So mahusiano mengi yanakuwa na wanaume ambao hawajielewi wanadhani wanapenda kumbe wanatamani tu! Na akishaacha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamii nzingi za Kiafrika zimekua na kawaida ya kumpa heshima ya peke mwanamke au mwanaume alieoa au kuolewa,imefikia hata baadhi ya vyeo serikalini mtu anapewa kama ameoa/olewa na wengine kuambiwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom