Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Naishi Tanga town,natafuta binti wa Kitanga awe mdigo au m'bondei,miaka 25-30.Kwa urafiki,baadae ikiwa poa ndoa!Tuma e-mail:mpigaji@rocketmail.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtaani wananiita mzee wa Bata a.k.a Tajiri Mutoto, :cool: yani huwa nakulaga bata mpaka kuku anaona wivu ahahah, wanajamvi, mi ni mtu wa jokes jokes na kula good tym, ila kuna upweke huwa...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Mnamo mida ya chakula cha mchana (lunch time) na nikiwa katika hekaheka na pilikapilika za maisha, nilijikuta karibu kabisa na sehemu ya maegesho ya magari katika maeneo ya Magogoni karibu kabisa...
3 Reactions
69 Replies
6K Views
Kwa wasiofahamu hii ni moja ya hitaji muhimu sana kwa ndoa! Ili ndoa iwe halali, couple must be able to consummate. This is the first act of sexual intercourse after marriage. If in any case...
1 Reactions
96 Replies
6K Views
Drama as married woman caught cheating There was naked drama at a local lodge in Harare when a married woman was caught red handed by her husband while having ‘horizontal gymnastics’ with a...
0 Reactions
27 Replies
13K Views
Kuna jamaa yangu mmoja na ni mtu wangu wa karibu sana,anampenzi wake wa kike ambaye ameshamtambulisha hadi kwao,ila kunamambo ambayo yanamtokea jamaa huyu ambayo amejaribu kuniomba ushauri,na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukisikiliza bongofleva (mi sio mpenzi kiviiile), utagundua vijana wa kiume wanapoibukia, ambapo wengi wanakuwa kwenye early 20s, wanakuwa na nyimbo zao za kwanza za mapenzi zenye msg zinazofanana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaam zenu wanajamii. Miongoni mwa vitu vinavyotufanya tupendane ni mahaba, ukuruba (feeling to each other) maumbile (beauty), maingiliano ya kimwili (sex), matarajio (expectations) na mengine...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
...This couple is heading to their honeymoon and their car gets a puncture.. so what do you think is the correct situation here; 1. The guy was forced to marry this lady 2. The guy doesn't...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo jumapili ilikuwa nzuri sana. Nikiwa boad nimejikongoja na kuamua ninyoshe miguu mitaa ya Sakina hapa A-Town. Yaliyo nikuta huko imenipa picha na negative yake kuwa ukitaka kujua jinsi gani...
6 Reactions
107 Replies
19K Views
Kumekuwa na mijadala mingi sana humu MMU kuhusu kuvunjika kwa ndoa,wapenzi kuachana,kusalitiwa na kusaliti,kupigwa kibuti na yote haya ni matokeo ya mahusiano ya watu wa aina mbili tofauti yaani...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kutumia jukwaa hili kuwapongeza sana wanawake makini ambao naamini ndio waliojaa JF. Kwa kawaida miaka 2-3 baada ya harusi, vile vijizawadi; jiko, sufuria, glasi, sahani, microwave, sijui...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
...........
5 Reactions
18 Replies
3K Views
eti inakuwaje ukioa mwanamke ambae alishakuwa na mtoto na huyo mtoto anakaa kwa baba yake inakuwaje siku yule mtoto akiumwa na akalazwa ikabidi mama yake aende akamuuguze. Na endapo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
invalid topic
2 Reactions
38 Replies
5K Views
Habari zenu wana jamii, Leo nina ushauri kwa wale walioko kwenye ndoa, na nimeona niwape ushauri huu kufuatia yalompata dada yangu. Dada yangu aliolewa miaka ya 1990 na baba mmoja ambae by that...
16 Reactions
60 Replies
8K Views
Wakuu, Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi. Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bado niko njia panda kuwa je ni kweli wanawake wanaona aibu kuelezea shida zao hadharani zaidi ya wanaume kwa nyakati hizi? Je, ni kweli wanaume wana wivu wa asili zaidi ya wanawake? Ukiangalia...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
Back
Top Bottom