Binti akiri kutembea na wanaume 5,000

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,250
12,868
Toa maoni yako........... 123.jpg
 
Sipati picha, kama pango vile

ha ha ha ha! Madam..kuna binti wa waziri fulani hivi anamiliki bendi ya muziki nilimuuliza ana wanaume wangapi akanambia mbaka muda huo alikua nao 62 na alinihesabia..

huyo waziri ni Prof kutoka kanda ya ziwa simsikii sikuhizi na bendi yake imefulia..umenchekesha
 
Inabidi muamini jamani kuna wanawake wanaachia vibaya,inafikia mahali hawezi kupata usingizi mpaka mkononi awe ameshikilia ze-dudu au angalau umuwekee puani tu asikie harufu yake.
 
Miaka 26 x 365 = siku 9,490
Amefanya mapenzi na wanaume 5,000. Kwa wastani toka siku ya kwanza azaliwe kila baada ya siku 1.9 amefanya mapenzi na mwanaume 1(kama sijakosea)
Huyu kiboko...
 
Maoni gani sasa unayohitaji? Kama ni kahaba na kwa siku anapata mteja 1 hadi 3 maana yake ni kias cha mwaka tu keshakamilisha hiyo idadi!
 
Back
Top Bottom