Sikuwahi kujua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sikuwahi kujua!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PetCash, Jun 18, 2012.

 1. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Watu wengi husema kuwa wanaume wengi hutamani wanawake kwa vile tu walivyo...So mahusiano mengi yanakuwa na wanaume ambao hawajielewi wanadhani wanapenda kumbe wanatamani tu! Na akishaacha kutamani uhusiano kwishney!
  Wanawake kwa upande wa pili wanatamani maisha mazuri, pesa nk nk..otherwise wanapenda kweli.

  Hii ndiyo sumu ambayo nimenyweshwa all this time.
  Sijawahi kujua kwamba unaweza kuwa kwenye uhusiano na msichana na kakutamani tu!
  Si hela, wala maisha mazuri, wala hakupendi ila tu kakutamani the way mwanaume anavyomtamani mwanamke
  DAH! Something new to learn here!
  and I'm like ----->>>:fear:
   
 2. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,111
  Likes Received: 10,468
  Trophy Points: 280
  Aisee..
  Ila umeshapata lunch mkuu.! Ngoja niweke vitu mbavuni awali ya yote.
   
 3. stephot

  stephot JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 5,023
  Likes Received: 2,636
  Trophy Points: 280
  Ujuwe sasa,na ndoa nyingi za sikuhizi zimekuwa hazidumu kutokana na hako ka-concept kakutamani ukidahani kuwa unapenda,ningeshauri somo la mapenzi ya ukweli lifundishwe kuanzia primary schools nahisi itasaidida tuepukane na hili tatizo linalotuletea watoto wa mitaani.
   
 4. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Mh wacha nami nijiulize
   
 5. PetCash

  PetCash JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 20, 2012
  Messages: 1,679
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  farkhina, ukipata jibu utuletee hapa manake inawezekana idadi ni kubwa...Imefika muda wa kutenganisha kondoo na mbuzi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Oh yeah wanawake wana 'think like man'.
   
 7. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Still loading........
   
Loading...