Natamani kupendwa kama ninavyopenda

Lady G

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
515
130
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
 
Huwezi kujizuia kwa7bu huwa unapenda kweli, 2ha kufanya mchunguze mtu kwanza kabla hujaamua kuwa nae
 
natumai mu wazima wa afya.Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
wangapi umewah wapenda kwa hisia za ndani? Back to the topic, wanaume weng weng wakishajua umefika poz nying, kikubwa lazima ujicontrol na muda mwingne kumkubal m2 fasta2 cyo ishu
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
Hapo kwenye RED,Nakushauli uwe unaweka ubongo wako(fikra) ''busy'' kwenye mambo mengine ya maisha ukiachilia mbali mapenzi.
''Some one can screw you easily if you simply give him/her the screw driver''
 
kama we ni mwanamke chamoto utakiona nadhan hujui wanaume vzr.ila kama mwanaume basi hongera mana hamna mwanaume wa hivyo cku hz isipokua mwenye hofu ya Mungu,au anaejua mana ya mwanamke
 
we penda mpaka kiwango cha mwisho...ukipaa akupendae sana ndio utaona raha yake...hakuna namba utaacha ona ukipenda njemba isiyojua kukujali.
 
na wanawake pia ndio ivyo ivyo mbona? akishaona hisia zako kuwa unampenda basi mafulu pozi. kusema kweli na mimi huwa nashindwa kujizuia nikipenda
 
preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
 
preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
njoo kwangu mwaya.
 
Just endelea, give more love and it will come back to you,and when it does , hutakuwa na moyo wa kutosha kuyabeba huwa inakuwaga hivohivo
 
Hivi kupenda Bila kuonesha hisia ndiyo kukoje?
naombeni mwongozo wajameni..
 
natumai mu wazima wa afya.Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla
ohh pole sana, njo kwangu, mi nitakupenda bila mapozi. Love you Lad G
 
muache mwanaume akupende zaid kuliko unavyo mpenda wewe,, wanaume wana roho ngumu hao ,,sijapata kuona pole sna ndio mambo.. usioneshe udhaifu kwao kabisa hata kama unampenda vip
 
Mi nadhani kupenda bila kuwa na malengo yanayomfanya mtu kupenda nikupoteza muda wako. Unaweza kuwa na mawazo mazuri ktk kupenda kwako lakini mwenzio asiwe na wazo kama lako hata kidogo. Huwezi jua nani wa kuishi nae lakini inapaswa tuwe wenye subira na kumuomba Mungu atupe wale wenye malengo yanayofanana na sifa zetu, mfano Mzinifu apate mzinifu mwenzake Mtulivu apate mtulivu mwenzake, sema "Amen"
 
natumai mu wazima wa afya.
Mwenzenu nina tatizo linalonisumbua, yani nikipenda napenda jumla kwa hisia za ndani kbs, sasa najiuliza hv wanaume nao huwa wanapenda kwa hisia kali? Maana baadhi yao huwa hawaonyeshi. Swali. Nifanyeje niweze kupenda bila kuonyesha hisia?maana mwanaume mwingne ukimpenda sana anaanza mapozi.........blabla

I hate to say this; ......it's hard to love with all your heart and soul and at the same time being truly loved.
 
preta n others.... mie ni mdada wa makamo kiukweli nilikuwa cjajua kama wanaume wanaroho ngumu, naona nimependa kwa mtu asijua kupenda, najuuuuuuta kumfaham, wadada tuwe makini ic
Usijali kuhusu hilo, chamsingi ongeza kumpenda nae anaweza kukupenda zaidi! Mapenzi vionjo, wanaume always huwa tunarespondi kwa mapenz tupewayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom