Nifanyeje kumenteini mapenzi yangu?

bishankara

Senior Member
Feb 21, 2012
140
8
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa 1600. Nampenda sana. Je ni kitu gan naweza fanya ili abaki kuwa wangu wa maisha?
 
Kufunga ndoa baada ya kumshirikisha Muumba wenu, then muamue kuishi pamoja; kazi waweza pata nyingine lkn mpenzi si rahisi!
 
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkeli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa 1600. Nampenda sana. Je ni kitu gan naweza fanya ili abaki kuwa wangu wa maisha?

Jitahidi ili muweze kuondoa umbali uliopo kati yenu...Long distance relationship huwa inaleta majaribu mengi sana katika mapenzi na hatimaye uhusiano kuvunjika.

Last edited by a moderator:
Endelea kumpenda, mjali kwa hali na mali na umuheshimu, mengine mwachie mungu.
 
Ushauri wako ni mzur, lakn distance kwa sasa bado haijawezekana kuiondoa. Mm namuomba Mungu na ananijalia kwan ninayo spirit ya uaminifu. Namuombea na mpenz wangu awe hvo.
Jitahidi ili muweze kuondoa umbali uliopo kati yenu...Long distance relationship huwa inaleta majaribu mengi sana katika mapenzi na hatimaye uhusiano kuvunjika.

Last edited by a moderator:
Ushauri wako ni mzur, lakn distance kwa sasa bado haijawezekana kuiondoa. Mm namuomba Mungu na ananijalia kwan ninayo spirit ya uaminifu. Namuombea na mpenz wangu awe hvo.

Jitahidi ili kwa namna moja au nyingine muweze kuiondoa especially kama wote mngependa kufanya hivyo...Kila la heri.
 
Jamani ninaye mpenz wangu, nampenda sana na naamin na yy ananipenda pia. Najitahd kumpenda na kuwa mkweli na muwazi tena pasipokumsaliti ingawa mm na yeye tunaishi mbali kwa zaidi ya kilometa 1600. Nampenda sana. Je ni kitu gan naweza fanya ili abaki kuwa wangu wa maisha?
muoe ndio atakua wako wa milele kama mtaamua kua waaminifu baina yenu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom