Wanawake hawajishughulishi kumsaidia mumewe kuwika..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,955
2,000
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???

Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika’, si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.

Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.

Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi’, lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea’ hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: “Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja.” Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.

NIMECOPY AND PASTE FROM FB.
 
Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
0
JE HII INAWEZA KUWA SABABU YA KUMFANYA MWANAUME AKAKOSA NGUVU YA KIUME???

Wanawake wengi hasa waliopo kwenye ndoa, wanapuuza ujuzi kwenye tendo la ndoa. Hawajishughulishi kumsaidia mwanaume ‘kuwika', si wabunifu na watundu, jambo hili humfanya mwanaume kushiriki tendo kwa kutegemea kupanda kwa hisia zake mwenyewe, hivyo anapokuwa amechoka au ana mawazo, hawezi kusisimka kwa vile hapati ushirikiano toka kwa mwenzake.

Pamoja na wengi kutokuwa wajuzi, lakini wapo wengine ambao ni watundu mno kwenye sita kwa sita kiasi cha kumfanya mwanaume ajione kama mgeni wa mchezo huo.

Kimtazamo, wanaume hupenda sana ushindi wakati wa ‘kazi', lakini pale wanapogeuzwa ‘chekechea' hupunguza uwezo wa kujiamini na kuruhusu hofu kuongezeka mawazoni mwao, hivyo kuwasababishia tatizo la upungufu wa nguvu za kiume.

Inashauriwa kwamba, mwanamke anapokuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya mapenzi hasa wakati wa tendo, asioneshe kiwango kikubwa kwa haraka bali amchukulie mwenzake kama mwanafunzi, asiwe na maneno kama: "Leo nakuja kukupa vitu adimu kuliko vya juzi, hakuna kulala kasi mtindo mmoja." Kauli hizi huwaogopesha wanaume na kuwafanya wapungukiwe na nguvu.

NIMECOPY AND PASTE FROM FB.
Okay,I see!!!!!!!!!!!
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
:biggrin1: jogoo hasaidiwi kuwika ikifika alfajiri tu linawika lenyeweee .........:biggrin1:
Vingine ni madoido tu.................!
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
195
inawezekana lkn kwa asilimia chache sana kuna vitu vinavyo sababisha japo hiyo nayo ni sababu moja wapo
 
gobore

JF-Expert Member
Aug 17, 2009
717
195
Aaah wapi una matatizo yako tu wala hamna cha stress wala mawazo. Wengine sie ukibip tu nyoka kavimba tayari
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Sijui,lakini mimi kama mwanaume siwezi kujisikia vibaya kama mke wangu atakua mtundu kuliko mimi

Haya ni mambo ya kufundishana hakuna anae jua kila kitu.Mai waifu Kaunga asante kwa kunidisha ile staili ya kichurachura . . . . . Lol!!
 
Last edited by a moderator:

OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,151
1,250
Mwanaume yupi anayeongelewa hapa....................................!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yaani uingie ndani ukutane na fundi aamshe mtiti halafu mwanaume tena ego ishuke??????? Ni mwanaume gani haswa anayekusudiwa hapa???????

Ama kweli akutukanaye hakuchagulii tusi...............................
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Aisee again mwanamke unatakiwa usioneshe uwezo wako kumzidi mwanamume ili ego yake iendelee kuwa juu; na ukishuka unaonekana huyawezi; kaazi kweli kweli.

Wapi snowhite, Kongosho, King'asti na wengine? Nahisi nitabadili jinsia maana uvumilivu umenishinda!

Hahaha hata mie nimeshangaa............!!
Huu ukandamizaji utaendelea hadi lini? Labda kama kuna tofauti ya ashki kati ya mwanaume na mwanamke katika tendo hilo kwamba wanaume ndio wanaotakiwa kuwa na ashki kubwa kuliko mwanamke!! Chineekeeee
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!

Shangaa labda watwambia kuwa wanawake wa zamani hawakuwa wanaonyesha ujuzi wao vitandani ndio maana mababu waliendelea kuwa na nguvu kitandani na kama ni hivyo watweleze unyago huko Ntwara ulianza lini maana sipati picha wanavyofundishwaga kuyacheza mayenu kisha wasiyacheze ........................................Tafuteni sababu nyingine bana hebu waacheni wenye meno watafune akha!
 
Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
ni kweli kabisa wenzetu huwa kama migomba....... kuna wengine wanataniwa kuwa akina "nidondoshege"
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Sijui,lakini mimi kama mwanaume siwezi kujisikia vibaya kama mke wangu atakua mtundu kuliko mimi

Haya ni mambo ya kufundishana hakuna anae jua kila kitu.Mai waifu Kaunga asante kwa kunidisha ile staili ya kichurachura . . . . . Lol!!

Mwaya usikonde, sintajibania kwako nitakupa kile ninachofurahia kukupa coz, naamini kitakufurahisha wewe zaidi! Mmmwaaaaaaaah.
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,151
1,250
Hahahaaaaa! Ukionesha ujuzi tabu, usipoonesha ujuzi tabu!!!!! Ukikatika sana unamuaibisha, ukijibweteka Gogo tena la mchongoma lisilobebeka! Mfanyiwe nini mridhike enyi viumbe!

There you gooooo.......................!!!!!!!!

Mtutofautishe wanaume na wavulana tafadhali............kama mwataka raha mtuchaguage wanaume bhanaaaaaa!!!!!!!!!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,151
1,250
Shangaa labda watwambia kuwa wanawake wa zamani hawakuwa wanaonyesha ujuzi wao vitandani ndio maana mababu waliendelea kuwa na nguvu kitandani na kama ni hivyo watweleze unyago huko Ntwara ulianza lini maana sipati picha wanavyofundishwaga kuyacheza mayenu kisha wasiyacheze ........................................Tafuteni sababu nyingine bana hebu waacheni wenye meno watafune akha!

Hah ha ha haaaaaa...................ujeuri kabla hujauvuka nto somo........!!!!!!
 
Dina

JF-Expert Member
Sep 18, 2008
3,159
2,000
Aisee again mwanamke unatakiwa usioneshe uwezo wako kumzidi mwanamume ili ego yake iendelee kuwa juu; na ukishuka unaonekana huyawezi; kaazi kweli kweli.

Wapi snowhite, Kongosho, King'asti na wengine? Nahisi nitabadili jinsia maana uvumilivu umenishinda!

Umeona eeh! Kwanza humu humu kwenye mada moja anatuchanganya, oohh hamtusaidii 'kuwika', akiwikishwa ooh madoido yanazidi tunaishiwa nguvu!

Khaa! Hawa watu wanataka nini?
 
MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,474
1,225
Hah ha ha haaaaaa...................ujeuri kabla hujauvuka nto somo........!!!!!!
Ah somo weeewe, kusema ntu kufurahia chake vibaya akhaa, mwali yeye kitu kupewa bure kwa nini asifurahie? kusema kiuno chake kucheza kwa furaha zambi! mi sijaelewa
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,546
2,000
Umeona eeh! Kwanza humu humu kwenye mada moja anatuchanganya, oohh hamtusaidii 'kuwika', akiwikishwa ooh madoido yanazidi tunaishiwa nguvu!

Khaa! Hawa watu wanataka nini?

Halafu huwa wanawasema dini fulani kuwa hawaishi kulalamika; kume ulalamishi ni nothing but gender issue! LOL
 
Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,276
0
LOL mkiwa 'kiuno bila mfupa' unapigwa chini na kuitwa ma.la.ya, mkiwa gogo unapigwa chini na kuitwa mvivu/mshamba. one of the myriad of reasons i'm glad God made me a man.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom