Ma-HB vs Playboys

jb87

JF-Expert Member
Nov 23, 2012
242
384
wana jamvi leo na mimi nimeona niweke uzi tuuchangie kidogo, kwa mtazamo wangu na research ambayo sio rasmi sana naona kama asilimia kubwa ya men ambao ni ma-HB na wale ambao ni Playboys huwa wanaishia kuoa au kuwa na wake ambao ni wa viwango duni(kimuonekano sizungumzii tabia) ambao unaweza kusema hawaendani nao kivile!!!!!!, ukiringanisha na mademu au girlfriends ambao wamewahi kuwa nao ambao mara nyingi huwa ni wale watoto wa ukweee....,mimi natamani kujua sababu huwa ni nini?kwamba nao huwa wanakutana na wajanja zaidi yao au imekaaje!!
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,146
9,464

Operational definition ya hizo terms kwanza..............

Opening clause; Beauty lies in the eyes of the beholder.................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
prianka

JF-Expert Member
Aug 29, 2012
684
168
ulisha wahi kuona mafahari wawili wakakaa zizi moja ma dear inamaana wakioana wazuri wote humo ndani kutakuaje ni lazima mmoja awe juu kidogo ya mwenzake
 
MR. ABLE

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,480
939
Sister du akioana na Brother men, ndani kutakalika!!!!!!
Kila mtu hataki kuchafuka men!!!
Je nani atafanya kazi????
 
Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
5,897
Mwanaume muone tu, ana akili sana, anaweza kuwa na mabinti kumi sehemu tofauti tofauti ila anajua ni yupi ni wife material hapo au ana top 3 yake hapo na itifaki inakuwa imezingatiwa bila kukosewa. kwenye ku-play anazingatia sana sifa za nje, ila likishakuja swala la kuoa, anakaa na kwa rula.

Wanaume wengi walio makini hawatangazi ndoa mapema, unashangaa mtu anatongoza binti siku ya kwanza na kutangaza ndoa hapo hapo kuonesha eti yuko siriaz, enyi wana wa kike, hamshtuki tu? ndio maana stori za mchumba wangu kaniacha baada ya gemu kadhaa ni nyingi sana siku izi, kama sio wale wanaume ambao umri umeenda sana, wengi wetu hii ni gia ya kuingilia mabinti kirahisi. So wadada watch out ma HBz. (msininukuu, mimi????? hataaaaa, si mmoja wao!!!!! hahaaaaa)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom