Wenzako wakifumaniwa wanakwepa hivi

T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
2,430
Points
1,250
T

TheDealer

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2012
2,430 1,250
Kuna nyumba moja hv nimepanga maeneo ya hapa mjini.
Pale jirani kwetu kuna dada nae kapanga. Dada ana watoto watatu wote wa kike.
Watoto wawili kazaa na mwanaume mmoja na mwingine kazaa na mwanaume mwingine.
Ila wale wanaume wake wote ameachana nao. Wale watoto wote wapo kwa bibi zao.
Na sasa ameamua kurudiana na mpenzi wake wa zamani ambae naye ana mke na watoto.
Anadai kuwa hawezi kuanzisha mahusiano mapya na mwanaume ambae hajawahi kuwa nae
katika mahusiano hapo kabla. Huyu ni maalum kwa ajili ya kuhandle her daily life confrontations.

Anasema kwamba yeye amekata tamaa ya kuolewa kwa kuwa amejaribu na imeshindikana,
sasa mpango wake ni kutembea na wanaume wa watu tu basi kwa kuwa wanajali na
hawafuatilii kihivyo, na kweli she is a woman of her words, anatembea nao vilivyo.

Ila sikia hii:
Mara nyingi anafumaniwa kwa njia ya simu(yaani call au sms), anachomoa hv:
Anamwambia mwanamke mwenzake(aliemfumania) kuwa yeye anajua kuwa ni kweli jamaa ana
mke lakini si yeye(yaani aliemfumania), yeye anamfahamu mwanamke mwingine na yeye
ameamua kutembea nae kwa kumkomoa yule mwanamke kwa kuwa naye aliwahi kutembea na bwanake!
Hapo yeye anaacha msala wa mume wa mtu vs mke wake vs mwanamke asiejulikana!!
 
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Messages
290
Points
0
Fpam

Fpam

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2011
290 0
kwa hiyo huyo dada ugonjwa unaoitwa UKIMWI yeye kwako sio tishio

Hivi huu mtindo wa kuzaa na kujaza watoto kwa kina bibi watu bado hawaachi

jaman tuwaoneee huruma wazazi wetu
 
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
1,561
Points
1,195
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
1,561 1,195
MIMi naona kama hiyo inaafadhali kidogo kuwa kazaa na baba wawili tu, mm jirani yangu kule kinondoni kazaa watoto 6 wawili mapacha wana baba yao, wanee pia kila mmoja ana baba yake. sasa ikifika siku ya sikukuu kila mmoja anamletea mwanae nguo na viatu, sasa je jiulize kwa yule asiyeletewa inakuwaje? pata picha. na kila anayeleta nguo na pesa anapewa huduma ya unyumba, pata picha ya pili hiyo. na bado ana bwana wake wa nje ya hao aliozaa nao.
 
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2011
Messages
7,869
Points
2,000
M

mzabzab

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2011
7,869 2,000
MIMi naona kama hiyo inaafadhali kidogo kuwa kazaa na baba wawili tu, mm jirani yangu kule kinondoni kazaa watoto 6 wawili mapacha wana baba yao, wanee pia kila mmoja ana baba yake. sasa ikifika siku ya sikukuu kila mmoja anamletea mwanae nguo na viatu, sasa je jiulize kwa yule asiyeletewa inakuwaje? pata picha. na kila anayeleta nguo na pesa anapewa huduma ya unyumba, pata picha ya pili hiyo. na bado ana bwana wake wa nje ya hao aliozaa nao.
huyo kweli anapemnda mitalimbo tofauti tofauti
 
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,121
Points
1,250
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,121 1,250
Huyo mwanamke mjinga sana atafanya hivyo kwa wangapi??? UKIMWI je??
 
Codon

Codon

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Messages
629
Points
195
Codon

Codon

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2011
629 195
MIMi naona kama hiyo inaafadhali kidogo kuwa kazaa na baba wawili tu, mm jirani yangu kule kinondoni kazaa watoto 6 wawili mapacha wana baba yao, wanee pia kila mmoja ana baba yake. sasa ikifika siku ya sikukuu kila mmoja anamletea mwanae nguo na viatu, sasa je jiulize kwa yule asiyeletewa inakuwaje? pata picha. na kila anayeleta nguo na pesa anapewa huduma ya unyumba, pata picha ya pili hiyo. na bado ana bwana wake wa nje ya hao aliozaa nao.
Wakija woote siku moja inakuwaje?Anaweka barafu iliyoganda kwenye k?Maana ule msuguano nao balaa!Hasa iwe kavu!
 
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
619
Points
225
zema21

zema21

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
619 225
kwa hiyo huyo dada ugonjwa unaoitwa UKIMWI yeye kwako sio tishio

Hivi huu mtindo wa kuzaa na kujaza watoto kwa kina bibi watu bado hawaachi

jaman tuwaoneee huruma wazazi wetu
si wote wanajali ukimwi wengine wanaona kama hauwahusu
 
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2008
Messages
3,614
Points
1,225
HorsePower

HorsePower

JF-Expert Member
Joined Aug 22, 2008
3,614 1,225
kwa hiyo huyo dada ugonjwa unaoitwa UKIMWI yeye kwako sio tishio

Hivi huu mtindo wa kuzaa na kujaza watoto kwa kina bibi watu bado hawaachi

jaman tuwaoneee huruma wazazi wetu
Hata mimi nilitaka kuuliza hili swali, Na cha kushangaza sidhani kama wanakumbuka hata kupeleka mahitaji!
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Points
2,000
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 2,000
habari yako haina mashiko, anadai hataki kutembea na mwanaume mpya, ni bora aliyekwisha zaa nae, na hawo wengine wa nje ni wawapi, umejichnganya, ama umetunga, verse
 
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Messages
1,561
Points
1,195
Lisa

Lisa

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2009
1,561 1,195
Wakija woote siku moja inakuwaje?Anaweka barafu iliyoganda kwenye k?Maana ule msuguano nao balaa!Hasa iwe kavu!
Hahahahaahahaaaaaa! sijui itakuwaje maana mm huwa naangalia sinema mpk nachoka. na kujiuliza maswali ambayo sipati jibu. kuwa mm huyu mume wangu mmoja kuna siku nasingizia tumbo linauma ili aniache sasa yeye kila anayekuja anapewa ana nguvu kiasi gani.
 
Codon

Codon

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2011
Messages
629
Points
195
Codon

Codon

JF-Expert Member
Joined Dec 16, 2011
629 195
Hahahahaahahaaaaaa! sijui itakuwaje maana mm huwa naangalia sinema mpk nachoka. na kujiuliza maswali ambayo sipati jibu. kuwa mm huyu mume wangu mmoja kuna siku nasingizia tumbo linauma ili aniache sasa yeye kila anayekuja anapewa ana nguvu kiasi gani.
KY-Gelly ngoja iadimike utamsikia tu yowe lake!Linaanza kama laraha alafu linaishia nachozi!
 
S

solution

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2009
Messages
494
Points
195
S

solution

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2009
494 195
Huyo mwanamke mjinga sana atafanya hivyo kwa wangapi??? UKIMWI je??
Huyo mwanamke ana akili sana ... hawezi kukosa jibu kwa swali dogo hili ..." Kama UKIMWI upo mbona umeniacha hadi sasa watoto 3 na ninatoka kama kawa.."
 
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,121
Points
1,250
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,121 1,250
Huyo mwanamke ana akili sana ... hawezi kukosa jibu kwa swali dogo hili ..." Kama UKIMWI upo mbona umeniacha hadi sasa watoto 3 na ninatoka kama kawa.."

Nimekuacha wapi Mbona wajipakazia?!
 
Forum statistics

Threads 1,283,494
Members 493,716
Posts 30,791,617
Top