Wanaume muwe wasafi basiiii khaaaaa

BADILI TABIA

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
32,686
2,000
umofia kwenu.....

Nimekaa nalo hili toka mchana......

Kaka zetu vipi jamani? Hata kujipenda kidogo?
Unakuta mwanaume, msomi na masters yake ananuka uvundo? Ananuka kutu? Ananuka kama maharage yaliyochacha?

Hivi hamjinusi?
Au hiyo harufu mnadhani ni perfume?
Mwanaume unavaa shati moja siku tatu?

Imagine mko kwenye kikao, mwanaume kichwani zinachaji anatema pointi ila mweeee harufuuuuuu.....ptuuuuuuuu unatamani kutapika.... Mwili unatema harufu kaliii

Tena wale mliooa msiseme wake zenu hawawaandai, usafi ni hulka ya mtu, kama ni msafi hutosubiri kusafishwa na mkeo.....

Please please jamani.......
Wanaume , Mtu ni afya, jali afya yako,
koga angalau mara mbili kwa siku, nguo hata kama ni kauka nikuvae ifue iwe safi, nyoq makwapa, nyoa mnarani, paka perfume, hata deorodanti zipo za bei nafuu mfano za fa, si lazima upake expensive.....

Jipende na jijali......

Nawatakia usiku mwema....

 

Heart

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
2,674
2,000
Usafi ni hulka ya mtu tu,havina uhusiano na elimu wala status. Mwingine ndivyo alivyo...kurudia soksi ndo jadi yake,na wala hakerekwi na harufu ya miguu au uvundo wa boksa yake aliyovaa kuanzia Jumatatu mpk Ijumaa. Hana shida!
 

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,208
2,000
Duh... me huwa nashangazwa na wanaume waliooa kutokuwa smart... hivi kweli anawezaje kuondoka nyumbani kwake akiwa rafu??? mkewe huwa yuko wapi???
 

s.fm

JF-Expert Member
Jul 8, 2009
664
250
Sasa ukute huyo mwanamke anayenuka...unaweza kuanza kuugua homa! acheni hizo bana usafi ni muhimu kwa wote,
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom