kumsahau nashindwa

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
37,279
35,620
Kubali matokeo nadhani kakwambia vizuri kuliko kama angeanza kuwa na wengine bila kukujulisha.
 

Tetra

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
1,521
761
Ni kawaida kupata maumivu makali unapokuwa wa kwanza kuachwa.
::
Mwache aende kama riziki ni yako atarudi tu,na kama sio yako hata ungelala juu ya mti hatarudi.
::
Usimtukane wala kujihukumu kupita kiasi,huo ndio wema unaoweza kuitendea nafsi yako.
::
Ni kweli ulimpenda jipongeze kwa kutimiza wajibu wako,ili baadae upate haki ya kulipwa kwa upendo.
=
Una majukumu mengine ya maisha unayopaswa kukamilisha na sio mapenzi tu.Jibidishe ktk hayo,,juhudi huvuta bahati.
 

Tized

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
4,023
5,897
Mwanaume kuchezea cha mbavu inauma mara mbili ya binti aliyeachwa, Chezeya weyee, Pole sana, just collect yourself n move on, thats life brother.
 

Asnam

JF-Expert Member
Jan 18, 2012
4,258
2,935
amekuchezea akakuacha mweh,afadhali alikupa taarifa mapema ingawa uliona sign mapema hukuzitilia maanani pole yako bado kijana mdogo sana familia,jamii inayokuzunguka na taifa linakutegemea jipe moyo usonge mbele mengine yataingia kwenye mstari muda ukitimia.
 

kbm

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
5,169
1,576
Zishike Amri za Mungu, hautaumizwa na mtu yoyote yule.
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
21,197
28,010
mhm pole sana. it is prdcisely for these reasons y kidume unashauriwa uwe na demu zaidi ya mmoja....ukiona kibuti kinakuja unampiga chini mapema kabla hajakuwahi.... its all abt power kijana. anayebwaga ndio mwenye power so lesson yako ni kwamba kuwa na demu zaidi ya mmoja ili ifikapo muda unambwaga ukijua unaye mwengine.
as for now kubali game hili umefungwa na kubaliana na matokeo
 

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,377
22,819
Mimi ni kijana wa miaka 23, na nimekua nampenzi wangu kwa muda wa miaka miwili hadi alipokuja kunitamkia 2achane ambapo iliniuma sana hata kuugua ingawa nilihisi angekuja kuniacha maana aliaanza kuonesha sign hizo,sasa hv yupo na mtu mwingine,nifanyeje?
pole!ndo watu wasiojua kupenda walivyo mwaya!
ulimpenda sana maskini!
skia!tatufa kitu cha kukukeep busy mdogo wangu!
anzisha self project!
lima bustani!tafuta gym mahali,KUWA MDAU MUHIMU JF!utasahau with time!
hakukustahili in the first plaze!
usimruhusu akuumize sasa ,leo hata milele!
UMEANGUKA,SIMAMA,FUTA VUMBI,TAZAMA MBELE.ISHI!
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
9,496
Mimi ni kijana wa miaka 23, na nimekua nampenzi wangu kwa muda wa miaka miwili hadi alipokuja kunitamkia 2achane ambapo iliniuma sana hata kuugua ingawa nilihisi angekuja kuniacha maana aliaanza kuonesha sign hizo,sasa hv yupo na mtu mwingine,nifanyeje?

Ulikuja duniani peke yako utaondoka peke yako, life is very meaningful if you know yourself and you understand others. Haya mahusiano usiyape nafasi kama marazote ni ya kudumu milele, ni kama nguo ukiipenda nunua utaendelea kuivaa kwa kadri inavyodumu na unavyoitunza, ikichoka achana nayo na uisahau utanunua nyingine. Usiangalie tena nyuma, haitakusaidia, tazama mbele and start a new beggining bro!
 

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
250
Mimi ni kijana wa miaka 23, na nimekua nampenzi wangu kwa muda wa miaka miwili hadi alipokuja kunitamkia 2achane ambapo iliniuma sana hata kuugua ingawa nilihisi angekuja kuniacha maana aliaanza kuonesha sign hizo,sasa hv yupo na mtu mwingine,nifanyeje?
miaka 23 bado una muda mwingi!! still you are young! wewe kuachwa ni kitu cha kawaida kabisa wala si kufariki! Kubali hiyo hali!!! amekuacha but hiyo ni nafasi ya wewe kumpata mwingine ambaye ni mzuri zaidi! kwa sasa wewe jaribu ku-relax, ji-keep busy na mambo mengine, usiwe na haraka ya kumpata mwingine wait, na uchukue muda mrefu kumsaka mwingine utampata tena mzuri zaidi ya huyo aliyekutenda, dunia hii watu wapo kibao. usihofie
 

Ansah Miles

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
392
173
pole kwa yaliyotokea,ulimuamini ukijua una-safari naye ya maisha...lakini ndio hivyo umepigwa za pua,... kubali matokeo songa mbele cha msingi kama unasoma kaza buti.kama ni mjasiliamali kaza buti kama ni mkulima vl vl kaza buti,nenda jim na fanya mazoezi ya kutosha...na akikosea akirudi potezea kwani ata-kuua huyo...mara nyingi ukimrudia atakuacha tena .....watu wa hivyo hawajifunzi....pole
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom