Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wana jf. Niliwahi kukumbwa na tatizo la kuumwa kiuno nikiwa mdogo nikawa sikai chin wala kusimama yan ni kulala tu 24hrs ndipo nilipochanjwa chale kuzunguka kiuno kizima. Sasa kuna...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Hey guyz whats up Am m nko Arusha ila ninatatizo moja tu wakubwa nalo ni Kuna bint nimempenda sana ila kumwambia hanielewi mara kasema hawezi kumsalit qliyekuwa naye ila cha kushangaza aliywkua...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndugu wadau wenzangu wa jukwaa kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my biological father ni kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za mapumziko wana-MMU,. Naomba Tujadili Kwa Mapana Yake Hii Kauli Ambayo Nimekuwa Nikiiskia Mara Kwa Mara Mtu Anatokea Na Kukuambia ''You Are In Wrong Relationship Au Kwa Kiswahili ''...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Huwa nashangazwa nao pale mvua inapoanza kunyesha redio zote za Dar wanapiga zile nyimbo laini za kimapenz yaan R and B na countries kusuport watu wa Bongo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
On my labor bed I swore never ever to look at male genitals let alone touch or allow one near me. But as my son turns one year old,natamani kweli uja uzito na vituko vyake. Long before I...
18 Reactions
108 Replies
11K Views
Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo...
1 Reactions
60 Replies
10K Views
Habari wana jf siku ambayo kamwe Sitoisahau coz sikutegemea km vitu km hivyo vipo...ila yakanikuta na nikaamini watu tunatofautiana. Ilikuwa ni siku ya jumamosi natoka zangu nyumbani kwenda...
5 Reactions
131 Replies
16K Views
hii ni kalibu inchi nyingi za kiafrika,hasa kusini mwa jangwa la sahara,unakuta mtu anajiapiza lazima fulani anioe, wengie wanatumia mitishamba ili waolewe, mwanaume ndiye mwenye nguvu ya kumtaka...
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako...
0 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari zenu wanajamvi.....nnampenzi wangu tumekaa almost miaka mitatu sasa..bt hajawai kunipeleka anapoishi hta mala mja..na najua kila kitu kuhusu yeye kwamba anamtoto bt aishi naye anaishi na...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Habari zenu wana MMU kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Nina rafiki yangu jmn sijui ana pepo la ngono?kila akiwa na mwanaume huyu baada ya muda anamuacha kisa eti hawezi kumridhisha!nimejaribu kumsema jamani lakini asikii mkikaa kidogo tu utasikia eti...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Wana jf....mi nimeoa na nina watoto wa3. Huyu binti nilimtoa kwao nikawaahidi wazazi wake kua nitamsomesha mpaka elimu yeyote. Nikafanya hivyo mpaka sasa yupo na kazi. Ila kwa bahati mbaya mimi...
6 Reactions
113 Replies
13K Views
wanaume wengne jamani mna roho ngumu cjapata ona...mtu hajatafutwa toka ijumaa,kabla ya hapo cjui linii..piga simu wee, kwishneh!kitu long distance,kila mara kulalamika mawasiliano yameisha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jana nilienda kupima HIV pale Angaza Mnazi MMoja. Lengo ilikuwa nijijue hali yangu kiafya ili niadhimishe siku ya ukimwi duniani "while I'm informed". Nimengia hapo angaza saa 2 asubuhi...
25 Reactions
60 Replies
7K Views
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu...
3 Reactions
100 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…