Hivi wanawake wana tabia kama za wanaume wanapokuwa safarini kikazi?

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Huu ni uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 8 juu ya wanaume wanapokuwa safarini kikazi nje ya ofisi zao.
Kwa kweli kwa asilimia kubwa nakubaliana na ule usemi kwamba vidume vingi ndivyo vinavyoleta magonjwa
na vyanzo vya ndoa nyingi kuvunjika.

Iko hivi; wanaume wengi wanapokuwa safarini mkakati na jambo la awali wanalolifikiria ni kama huko atapata
mwanamke wa kumchakachua kama sio siku hiyo basi the next day. Yaani ili mradi tu apatae 'pochi' ili aweze
kupata starehe hiyo.

kinisikitishacho, pengine kwako kinaweza kuwa kituko ni pale unakuta walipofikia kuna uhaba wa wanawake, yaani ni full kuzidiana kete kama sio kupinduana ktk kumpata mwanamke husika.

Sina uzoefu wa kusafiri kikazi na wanawake. Hebu tupeane uzoefu kwa hii jinsia nyingine juu ya haka katabia kalikoota mizizi kwa wanaume wajemeni!

Mlalage salama wajemeni!
 
nikisafiri kikazi.....
Nabeba laptop na huwa nishadownload movie za kutosha......
Nahakikisha hoteli nitakayokaa ina dstv kama back up....
Jioni naweza kwenda kutembea hapa na pale kurefresh......
Saa moja-mbili nipo rum, nipitie kazi niliyofanya siku hiyo, niongee na familia then movie au nilalae......

Weekend ikinikuta safarini nitakuwa busy kuandaa majumuisho ya safari, kutoka kiduchu, movie kwa sana.....

Kama kuna marafiki wawili watatu nitawajulia hali kimtindo na kubadilishana nao mawazo kwa masaa kadhaa......
 
Kuna washkaji wangu, huwa walikuwa wanaita kuweka signature!

Sitaki kuwa msemaji wa wanawake, lkn mwanamke ni ngumu na kama akiamua basi si kwa madhumuni sawa na ya mwanaume (kuacha footprint au loinprint! Lol).
 
wanagongwa nyavu hadi unawahurumia.
Hakuna cha mke wa mtu wala binti, ni mwendo wa kuliwa tu.

Sijui semina/warsha/mafunzo zina ukichaa, hasa wakiwepo na watu wa west africa, yeweriii.

tena hasa wanaotoka gavument(msiniue lol, nasema ksipiriensi yangu)
 
Loving for doing 100%
Loving for marriage.
Searching...100%
Loading...0%
Network Failed !
 
Jaman wanaume ifike point tuamue kuachana na tabia hatarishi za ndoa zetu.Wanawake wengi walio kwenye uhusiano hufanya usaliti kwa ajili ya revange ya mambo wafanyiwayo na wame zao.HIVYO TUNAWEZA KUONGEZA UTULIVU NA AMANI KWENYE NDOA IWAPO WANAUME(haswa wa kiafrika) TUKIAMUA KUTULIA. Sio busara kuishi kama mbwa dume kila uonapo msichana tayari udenda umeshakutoka.
 
wanaume wamezidi,though wanawake nao sometimes hujikuta wanadu bila kutarajia.tatizo huwa ni pombe,na ku socialize na mpangaji mwenzake wanae kunywa nae at that moment.kuna mdada tulifikia hoteli moja pale rock city.yeye alikuwa amemleta mtoto shule,sisi tulikuwa pale kikazi.yule mzee wa kizaramo akaniambia.'babu huyu kama anakunywa lubisi(pombe) kaumia,mzee yeye anagonga red bull tu.yule dada baada ya kuoga akaja kaunta kupata moja baridi,mzee akamdakia hapo hapo.mh! Mzee wa kizaramo hakufanya kosa.
 
dah sisi wenye waume wanao safirisafiri...duu roho juu?jaman ifike wakati wanaume mbadirike,wanawake wengi 2na subira na staha hasa 2napowafikiria watoto we2.cio tabia nzuri kwani pamoja na kuhatarisha ndoa pia kuna maradhi.
 
Ndo hivyo tena, we endelea tu kuishi kwa matumaini dada! mambo yafanywayo na wanaume wawapo safarini ombea tu usiyajue, wallah unaweza jinyonga!
 
Ndyoko, kuna wanaume na magumegume.
Sisi wanaume, tunawapenda wake zetu, ni wapole, wavumilivu, tusio waka tamaa, tunawathamini na kuwajali wake zetu na tunapokuwa mbali na wake zetu tunajihisi hatujakamilika, simu zinachukua mkondo, maongezi marefu yanatawala, na pia hazishuki kwa raha.
NDYOKO, naomba ujue sasa tofauti ya wanaume na magumegume
 
.............nimeipenda hii

Sio bure mkeo yumo humu
 
Back
Top Bottom