Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume wa kwanza kwa mwanamke eti ana access muda wowote, hata akiolewa?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGULI, Dec 16, 2009.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Eti ni kweli??
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ni kweli kabisa!
   
 3. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #3
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kinachotakiwa ni kuomba mungu mwanamke wako(kama hujam-bikiri wewe) ASIKUTANE NA MTU ALIYEVUNJA KIKOMBE CHAKE!akikutana nae ''hana ujanja'' lazima avue
   
 4. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #4
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu unajua statement yako kali sana hii inaweza kuvunja ndoa za watu. Mungu apishe mbali
   
 5. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #5
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mimi sikumuta mke wangu bikra. sasa kama wewe ndo kidume uliyembikiri ukidhani utafungua milango kila unapoona chaka jaribu uone habari yake. Umeshawahi kuona mwanaume anakwenda mwezini? just TRY usikie kwa kuona.
   
 6. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #6
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  huo ndio ukweli!
  wanataka-WATAKUBALI
  hawataki-WATAKUBALI TU!

  ninazo practical examples:

  kuna moja inasikitisha zaidi,mwanamke anaolewa.jamaa aliyem-bikiri alimfuata na kufanya nae mapenzi siku yake ya SEND-OFF!saa nane mchana.analalamika asipompa hawezi kufurahi akiwa ukumbini

  NIMELIONA HILI KWA MACHO YANGU!
   
 7. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #7
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mkwara tu!
  kama hujabikiri UMESHAPOTEZA!
   
 8. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #8
  Dec 16, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  U have add salt to an injury
   
 9. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #9
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  truth takes time
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  maneno mengi
  jaribu uone maajabu
  truth crack times
   
 11. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #11
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  UNFORTUNATELY sijambikiri mkeo.
  muulize nani alimbikiri uone reaction yake!:D
   
 12. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #12
  Dec 16, 2009
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaa kiongozi umenichekesha sana leo...swali hili ni rahisi hivi kweli mwenye password anashindwaje kuwa na access na hiyo kitu
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  bora useme weye bana!
  hili swala ni sawa na mtu kumuoa mwanamke aliyezaa nje.unatarajia nin?
   
 14. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #14
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Msanii, huo ni mkwara mbuzi. Kuna ukweli kwenye swala hili chance ni kubwa sana kwa mwanamke kumvulia chupi jamaa aliyemleta kwenye ulimwengu wa mapenzi.
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kimsingi THIS IS OBVIOUS!lazima atavua tu!...provaidedi jamaa ameomba ishu
   
 16. GP

  GP JF-Expert Member

  #16
  Dec 16, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ACHENI BANA MAMBO YENU, AARRGGHH
  WENGINE TUNA BIIPII HAPA.
  ila I thank God niliwai kubikiri demu fulani hivi.
  MBAYA SANA NI DEMU WAKO KUBIKIRIWA ILHALI WEWE HADI UNAMUOA HUKUWAI KUBIKIRI DEMU YOYOTE, LOH (it pains!!!.)
   
 17. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #17
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  here comes ANOTHER VICTIM!:D
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,581
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Kaka hapa unataka watu wasaliti wake zao ili at least watafute mtu wa kumbikiri, ili kupunguza maumivu.
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Dec 16, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  HAITAWAPUNGUZIA MAUMIVU,ila walau inaongeza hadhi ya kiume
   
 20. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #20
  Dec 16, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  pasepsheni ya kale hiyo. hakuna ukweli hapo. Nani humu ameona mke aliyembikiri?
  Ukisahau password unadhani unaweza kuget access? acha story za mtaani
  SUBUTUUUUUUU!!!!!
  hehehehehe
   
Loading...