Who is paula ???????

Who is paula ???????

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,004
Reaction score
37,912
WHO IS PAULA????

1501685_273301962822376_1796384745_n.jpg
 
Atakuwa alikosea alikuwa anamaanisha Paulo mfanyakazi mwenzake si unajua ukiumia unachanganyikiwa..!
 
Hahahahaaaa, kabla hajajua unaemdeleaje anataka kumjua Paula? Noma sana...
 
Asprin soma hapa. ni hitilafu za kiufundi tu za mdomo, si unajua ulimi hauna mfupa?
Atakuwa alikosea alikuwa
anamaanisha Paulo mfanyakazi mwenzake si unajua ukiumia
unachanganyikiwa..!
 
Last edited by a moderator:
wanawake ni watu wa ajabu sana. yaani paula ndiyo hoja zaidi kuliko hoja ya kuvunjika mguu kwa mumewe/mpenzi wake? wivu wa kike ni mzigo!!!
 
wanawake ni watu wa ajabu sana. yaani paula ndiyo hoja zaidi kuliko hoja ya kuvunjika mguu kwa mumewe/mpenzi wake? wivu wa kike ni mzigo!!!

Chezeiya kiburudisho wewe
 
Yeah mweziwe anataka kukatwa mguu yeye anaendekeza wivu....
Duh salaleeee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom