Mate si ni yaleyale

Mate si ni yaleyale

simakoku

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
584
Reaction score
674
Huwa mara nyingi najiuliza na pengine wapo ambao watakuwa na swali kama langu, kwa wale waliooa, inapokuja kwenye suala la kushiriki mapenzi na hata kitendo cha kubusiana huwa mke na mume wanashirikiana hata kushare mate na wala hakuna anayeena vibaya au kichefuchefu, lakini je iwapo mkeo au mumeo akiamua kutema mate kwenye kikombe au kijuko na kukwambia uyalambe, sidhani kama kuna mtu atakubali kufanya hivyo wakati mate ni yaleyale, sijui wengine mnaonaje?
 
Mate yanashewa yakiwa mdomon na cyo sehem nyingine.hata uvinza unaingia ukiwa umefumba macho.
 
yakishatoka nje huwa yanakuwa na bakteria, kiafya sio mazuri
 
Hivi unakaa kabisa unajiuliza ukipimiwa mate kwenye kijiko na mpenziooo,Dah!!!!!
Labda umalizie utafiti kwa kwenda kuyakinga na kijiko unywe,ni kweli mate ni yale yale
 
Huwa mara nyingi najiuliza na pengine wapo ambao watakuwa na swali kama langu, kwa wale waliooa, inapokuja kwenye suala la kushiriki mapenzi na hata kitendo cha kubusiana huwa mke na mume wanashirikiana hata kushare mate na wala hakuna anayeena vibaya au kichefuchefu, lakini je iwapo mkeo au mumeo akiamua kutema mate kwenye kikombe au kijuko na kukwambia uyalambe, sidhani kama kuna mtu atakubali kufanya hivyo wakati mate ni yaleyale, sijui wengine mnaonaje?

tofautisha kutema mate na kubadilishana mate mkuu..
 
Duh.. nimesoma wee karibu nafikia mwisho nahisi kuchefuka,aah
 
Yakitoka nje kwanza yanapo pigwa na upepo yanatoa harufu mbaya xo no vngumu kufanya ivo
 
kwa kijiko itakuwa ngumu
Ile ni tamu mdomo kwa mdomo(jinsia mbili tofauti)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom