Je wewe mwanaume unamfikisha mpenzi wako? Jipime kupitia hizi dalili sita

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
Habari,naam kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida ya MMU kuwekana sawa katika misingi ya kujenga familia/mahusiano bora yenye furaha na bashasha na yenye kudumu(education),nimeona sio vijana tuki share hii elimu hapa tukichukulia kua sex ni moja ya sehemu sensitive sana katika mahusiano,inapelekea hata mmoja wapo alsiporidhishwa ku cheat katika uhusiano zifuatazo ni

Alama au dalili 6 za kujijua kama mwanaume una bad sex performance
Kikawaida kila mwanaume anaamini yuko vizuri 6x6(great in bed) na kwa bahati mbaya sana wanawake wote wanalijui hili hivyo basi huishia kutomwambia mwanaume kua ana bad performance kwa hofu ya kujisikia vibaya… zifuatazo ni dalili(dalili means haujaambiwa na mpenzi wako) kua hajakubali performance yako kitandani(mbaya)

1.hataki tena sex na wewe-utajiakisi mwenyewe hapa nadhani wapo walioambiwa mimi nataka "tuwe tu kaka na dada" hata baada ya kugegedana mara moja!!nataka nikuambie tu ukweli iwe siri yak "HATA KAMA MWANAMKE HAJAVUTIWA NA MAHUSIANO KAMA ULIMPA BETTER/GOOD SEX ATARUDIA TENA"

2.analalamika unamuumiza…….!!take it from me "Great sex do not hurt after but terrible sex do" hapa maana yake ni kwamba kutwanga kwa kukomoa usiku kucha matokeo yake mwenzi wako kushindwa kutembea au mgongo kuuma haimaanishi you are great in bed job
3.Anakuuliza kama "umemaliza"??……..!!teh the hapa nitawagusa wengi sana aisee kama unaambiwa Fulani eh….bado tu hujamaliza? Jiulize mara 100 which means unamkera.kama wewe ni mmoja wapo(me) jaribu kufanya foreplay(show up time) iwe ya muda mrefu sana kabla ya kumuingilia hapo ndo utafanikiwa

4.ana fake orgasm…….!!hii kwa upande wangu naona kama unawahusu sana wao kwanini wa fake wakati safari haifikia mwisho?inassemekana mbinu hii huwa wanaifanya kama mwendelezo wa drama niliyokwisha sema mwanzo tu kuwa wanataka ujione kidume wakati kiuhalisia "HUWEZI MAMBO"

5.Anakupa instrunctions sana wakati wa tendo ………..!!yaani hapa ni kuwa maelekezo kidogo wakati wa sex yanahitajika/halali (dirty talk during sex) lakini hali ikibadilika nakua kama darasa(maelekezo mengi sana) au instructions za barabara za magufuli maana yake ni kwamba haumkuni vyakutosha(you don't blow her mind)

6.Ya mwisho……. Ataamka asubuhi na mapemaaa(atajifanya yuko busy)…… ghetto kwako!! Hapa anaweza kujifanya yuko busy……..au hapatikani kwa sababu tu humfurahishi ..!!kikawaida kama shughuli yako nzuri hata awe busy vipi atatafuta tu muda aje apate raha yake ya dunia
Kwa kawaida mwanamke ambaye unamfikisha akikuona tu anajilowanisha(caution ;yaani hii hutokea kabla hata hujamgusa) kutokana na ukweli kuwa wanawake ni watu wa hisia(affections) sana upo uwezekano akikukumbuka au kukuona tu inapelekea hisia ya ile sehemu inalowana(ooge) tayari kwa tendo kwa sababu kama unamfikisha vizuri your parts huwa zinakua na lugha inayotumika kuwasiliana.Alamsiki big result has become big joke now,unaruhusiwa ku criticise,kuongezea knowledges au skills zako hata experience yako pia(tahadhari kum attack mtoa thread personally haitavumiliwa)
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,759
2,000


1.hataki tena sex na wewe-utajiakisi mwenyewe hapa nadhani wapo walioambiwa mimi nataka “tuwe tu kaka na dada” hata baada ya kugegedana mara moja!!nataka nikuambie tu ukweli iwe siri yak “HATA KAMA MWANAMKE HAJAVUTIWA NA MAHUSIANO KAMA ULIMPA BETTER/GOOD SEX ATARUDIA TENA”

kuna kubadili maamuzi tu, kuona kwamba ulichokifanya ni dhambi au si sahihi. pengine ulizidiwa na mihemko ya mwili hivyo unaweza fanya mara moja na usirudi tena hata kama ulipewa mambo matamu. kutokutaka tena haimaanishi performance yako haikuwa nzuri.
 

mwekundu

JF-Expert Member
Mar 4, 2013
21,850
2,000
kuna kubadili maamuzi tu, kuona kwamba ulichokifanya ni dhambi au si sahihi. pengine ulizidiwa na mihemko ya mwili hivyo unaweza fanya mara moja na usirudi tena hata kama ulipewa mambo matamu. kutokutaka tena haimaanishi performance yako haikuwa nzuri.
mhhhhhhhh sikubaliani na wewe, upewe kitu ambacho unasikiaga tu kwenye media usirudie?this sometimes inatokea hata mtu akawa ameolewa ila ana cheat kwenda kwa Mr fulani tu kwa ajili ya fantastic performance!!hujawahi ona hii kidume hana hela,wala mvuto lakini ukakuta msichana kadata amenasa kwa ajili ya perfomance?thats her fantasy kwa huyo man
 

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,759
2,000
mhhhhhhhh sikubaliani na wewe, upewe kitu ambacho unasikiaga tu kwenye media usirudie?this sometimes inatokea hata mtu akawa ameolewa ila ana cheat kwenda kwa Mr fulani tu kwa ajili ya fantastic performance!!hujawahi ona hii kidume hana hela,wala mvuto lakini ukakuta msichana kadata amenasa kwa ajili ya perfomance?thats her fantasy kwa huyo man

mahusiano yanajumuisha mambo mengi tu. hata kama upo mzuri kwa bed ila una vitabia vinavyokera utang'ang'aniwa na waliokosa muelekeo tu. halafu kati ya vitu ambavyo wanawake wanaweza vumilia ni poor performance za wapenzi wetu kwa bed.
 

Daud omar

JF-Expert Member
Apr 4, 2011
2,459
1,225
“HATA KAMA
MWANAMKE
HAJAVUTIWA NA
MAHUSIANO KAMA
ULIMPA BETTER/GOOD SEX ATARUDIA TENA”
Kumbeee??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom