Kuhesabu pesa ulizopewa na mpenzi wako mbele yake.

shining

Member
Dec 6, 2013
20
0
Habari zenu wanajamvi,
Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sanasana wadada yan akipewa tu yeye ana ihifadhi halafu anaenda kuhesabia mbele baada ya kuachana na aliyempa. Kwani kuna tafsiri gani hapo kama utaamua kuhesabu misimbazi yako ili ujue kama amekidhi maombi/makubaliano? Nipeni mitizamo yenu ili nifahamu kama huwa nakosea kufanya mahesabu yangu hapo mbele yake.
 

white girl

JF-Expert Member
Dec 5, 2013
1,363
0
Nimepata hasira aaggggrrrr nimekumbuka one day nimepewa hela noti 3 nkajua buku 30
nyambaff nimezirushia mfukoni fasta badae kuzihesabu kumbe ni buku tatu!!!!

Hahahahahaha nimecheka balaaa na mie siku moja nimepewa hela sasa ilikuwa gizaa nikapewa noti 3 nikajua 30 kumbe ni elfu 5 tano tu duu alinikomaaaa kesho yake akaniongezea
Siku hiz nahesabu mbele yake kabisaa kama ndogo namwambia hii ndogo banaaa
 

Evelyn Salt

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
48,716
2,000
Hahahahahaha nimecheka balaaa na mie siku moja nimepewa hela sasa ilikuwa gizaa nikapewa noti 3 nikajua 30 kumbe ni elfu 5 tano tu duu alinikomaaaa kesho yake akaniongezea
Siku hiz nahesabu mbele yake kabisaa kama ndogo namwambia hii ndogo banaaa

mi nilichukia sana tena mbaya zaidi kabla sijapewa hizo buku tatu alinambia "usijali baby ukiwa na shida yoyote nambie am here for you" nikamuona taahira hivi shida zinatatuliwa na buku tatu aaaggrrrr
nikipewa hela lazma nihesabu aseee sitaki hasara mie.
 

Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,823
2,000
habari zenu wanajamvi,
naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sanasana wadada yan akipewa tu yeye ana ihifadhi halafu anaenda kuhesabia mbele baada ya kuachana na aliyempa. Kwani kuna tafsiri gani hapo kama utaamua kuhesabu misimbazi yako ili ujue kama amekidhi maombi/makubaliano? Nipeni mitizamo yenu ili nifahamu kama huwa nakosea kufanya mahesabu yangu hapo mbele yake.

mimi huwa nahesabu mwenyewe, lakini sijawahi kumpa girl friend wangu chini ya 50,000 na kuendelea
na mara nyingi huwa namwuliza kama hazitoshi nimwongeze kwa sababu nisipomaliza mimi nyingine atatoa wapi???? ..............ongeza na zako
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom