You know the drill ladies.
Its your time to GIVE IT BACK.
Every 14th of February you get the chance to display your fondness for a significant other by showering her with gifts, flowers...
Mi ni mtu mzima kwa sasa na nimeishi na mke wangu yapata miaka 12 ya ndoa sasa. Ninampenda sana na ninaishi naye vyema pamoja na wanetu wawili; wa kike na wa kiume. Nimekuwa nikisikia matatizo...
Nimegundua wanawake wengi siku hizi wanachuna kwa style ya kuomba offer za lunch,dinner,beer na lift yaani hawapigi mizinga mikubwa sana,,,,,ili mradi tu apate mtu wa kumpa hivi vitu unamtafuna...
zamani, sio hata mbali wanaume ndio walikuwa ndio wanaongoza kwa kusaliti wachumba na wake zao.siku hizi naona hali inabadilika na si muda hawa dada zetu watatupita kwa kucheat. kuna jamaa...
wasalaaam,,
kwa wale ambao wamefatilia mrejesho wangu wa nahisi naibiwa,,watakumbuka baada ya mshike mshike nlimsamehe bi dada na kuendelea nae na mahusiano!
ila kiukwel sijawah kumuamin tena...
Hilo ni swali ambalo nimekuwa nikihoji kila siku kwa mpendwa wangu!
Kiufupi iko hivi, wikendi ilopita, tulikuwa tumetoka na mpendwa wangu tukaenda zetu bich flani hapa Dsm kutembea kidogo...
Habari wakuu!!
Naona mwaka huu unataka kuwa wa majanga kwangu
Nimepata ujauzito ila mwanaume mwenyewe simsomi mahusiano yetu yapo yapo tu ilimrad..
Hapa nilipo nawaza mpk kichwa kinataka...
Habari ya asubuhi wanajamii ya humu kwetu,kama ilivyo desturi yetu kushirikishana ili kudumisha mahusiano yetu karibu ushiriki mawazo yako ni ya msingi sana
Nanukuu......................
"Imekuwa...
Habari zenu wan MMU
nimekuwa katika uhusiano ya kimapenzi na mpenzi wangu kwa muda sasa
ninamtimizia kila kitu lakini
bado analalamika simjali
kama ni upendo namwonyesha upendo wa dhati...
Wazazi/walezi wako wamekusomesha hatimaye umehitimu shahada yako ya kwanza au hata masters.
Wamekutafutia kazi nzuri, salary scale yako imenenepa!
Kwasababu ndio kwanza unaanza maisha bado...
Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa
Habari wana jamvi...kuna siku niliwah kupost kuhusu kuwa na jamaa ambaye nlmpenda lakin yeye hakuwa na mapenzi ya kweli kwangu.Leo nmekuja kwenu kuwashuhudia kuwa wapo wanaume wenye mapenzi ya...
Jumamosi nilienda kwenye nyama choma festival. Offcourse ilikuwa na watu wengi wa kila aina.
Niliwahi kuingia so I had an opportunity kupita pita almost kwenye kila angle kuangalia.
Sasa baadae...
wana jamvi mimi ni kijana nina 27 yrs, tatizo langu ni kwamba nilikuwa na girlfriend wangu ambaye tulipendana saana!!
Mpenzi wangu huyu nilikutana naye kipindi nikiwa nahitimu chuo mwaka 2011...
Wana MMU kuna guy humu ndani yaani nimetokea kumpenda kitambo mno, ngoja tu leo niamue kufunguka.
Jamaa mwenyewe anatumia avatar ya madenge,kila nikilikariri ID yake inanipotea kichwani...
Aaaagh... Hadi usiku unakuwa mrefu sana! Hadi nasahau kuwasalimia wakubwa wenzangu, wana MMU wazima? Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi sababu ya msingi sana ni...
Kutokana na vitendo vya kikatili vinavyomea kwenye jamii yetu serikali imeamua kuanzisha madawati ya jinsia karibu kwenye kila kituo cha polisi !ni jambo zuri
Shida iliyopo ni kwamba madawati...
Pumzi anayotupa ni rasimali muhimu isiyoweza kufananishwa na kitu chochote, kwahiyo ni uungwana wetu kumshukuru yeye Muumba wa vyote, kwa upendeleo aliotupa mimi na wewe. Unadhani ni wangapi...
^^
Ni kawaida sana katika mapenzi kusikia kauli kwamba "we ni wangu".. mpenzi wangu... mke wangu.. Mume wangu na mengineyo mengi yanayosaidia kukua kwa mahusiano, kuyafanya yalete maana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.