Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa
Heeh! Mi hata sijaelewa.
njoo nikueleweshe
Naomba anipitie wii wakati anakuja maana nami hilo darsa nalihitaji.
paka mapowdaaaa
Niko kamili hapa!
Asichelewe tu maana wengine ngozi full mafuta,mapowderr yataisha
Natafuta kiungo cha kati aka silaha ya maangamizi!! sioni.Sioni ya kienyeji hapo
Nipo na lipu shaini mama weee. Tung'ae kote!!
Ni mara baada ya kutoka sakina hapa nilipo nmegonga konyagi...... Hongera sana mkulu wa nchi hii kutuondolea stress tusio na kipato kwa ule msaada wako wa.___ sasa hvivi naskia usingiz balaa